kwenye harsh and limited life conditions ndio kunakuwa na maendeleo because you either swim or sink. Europe kuna more harsh conditions kuliko most parts of africa na ndio maana watu wanajituma na kuna maendeleo tunayoyaona.
And this reminds of this joke:
Mzee mmoja wa kichaga aliekuwa mgonjwa kitandani alimuita mtoto wake mmoja wa kiume ambae maendeleo yake kielimu na kimaisha hayakuwa yanamridhisha baba yake. Kijana alipokuja baba yake akamwambia: "mwanangu john, nimekupeleka shule umeshindwa, nimekufundisa wisi umeshindwa. Sasa mimi ninakufa utakula mafi yako!
watanzania tuigeni wachagga.tuna mambo mengi sana ya kuigwa.usafi,hard work,elimu,nyumba bora,miundo mbinu etc.ukifika uchaggani utashangaa.