Search results

  1. T

    Sifa za husband material

    17.pia HAYUPO😂
  2. T

    Ukiona kijana tajiri ujue ni mwizi, aliachiwa pesa na baba yake au beti

    Wee mzee maisha yamekuchangaya 😂 kama kwenye ujana wako hukutafta matokeo yake unakuja kulaumu vijana wenye pesa nyingi kuliko wewe na kuanza kuwahisi ni wezi unasahau kwamba
  3. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    NAWAULIZA TENA MUNGU MUWEZA WA YOTE ANAWEZA KUUMBA KITU CHENYE MAARIFA NA UJUZI MKUBWA KULIKO YEYE MWENYEWE?? "Can God create something bigger than himself?"
  4. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Unaambiwa nyoka akamwambia Hawa 😁😁😂 nyoka alikuwa anaongea bana kwahiyo waliongea lugha gan na kati ndo wametoka kuumbwa ? Na ilikuwaje nyoka akaacha kuongea na binadamu ikiwa laana yake hakuambiwa hatooongea???
  5. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Thibitisha kauli yako kwa hoja haii siyo kuacha hoja hewani . Uumbaji uliendelea ? Wewe umejuaje ulikuwepo???....
  6. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Jibu swali kwa kuanza hivi mke alitokaa... Na imeaindikwa hapa...
  7. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kwani hao watoto wengine wanaosema walizaa na Kaini walikuwa wa nani ????
  8. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Wangeandikwa kama stori ingewahusu sasa uzao wa Adam kwann haukuandikwa
  9. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kama Hakuna kitu kilichotoka from no where yeye Alitoka wapi??
  10. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kwahiyo hapo mwanzo tu kaini si alienda kuoa baada ya kumuua Habili kwo ilipita miaka 800 tyr mwanzo tu😁😁😁
  11. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Unaambiwa amelaaniwa anayeuona uchi wa mama yake pia unaambiwa mwanaume ukimtaman mwanamke kwa kumuangalia umekwisha kuzini naye kiroho ... Fafanua hayo maandiko ya biblia
  12. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Hivi kwaakili ya kawaida tukija kwenye mwili wa binadamu ulivyoumbwa kweli Moyo udunde miaka 800 bila kustop kwahiyo ujana unakuwa kwenye miaka 500 au yan. Sielew growth ya huyu mwanadamu anayeishi miaka 800 mfumo wake unakuwaje kwamba hakui au na kama anakuwa inamaana anakuwa anaukaribia uzee...
  13. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Asee ifike mahala hizi stori tuache kuziamini mzeeee
  14. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Wewe umeyajuaje kama hayakuandikwa??
  15. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kwahiyo nisihoji niassume thinking capacity imeshia hapaa? Umepewa uwezo wa kufanya reasoning em tumia wewe siyo mbuzi
  16. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kwanini hawakuzungumziwa na ilikuwaje wakakatazwa kuoana ? Wewe umejuaje kama Adam na hawa walikuwa na watoto wa kike Imeandikwa wapi leta jibu
  17. T

    Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Umenifanya niachane na hii thread kwa uongo Pumbavu yani mtu atoe mbuzi dume apate utajiri??? Mbona una uwezo mdogo wa kufikiri ingekuwa hivyo wangapi wangekuwa freemason kwa kuua mbuzi tu
  18. T

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Kwahiyo watoto wa Adamu wa kike walizaa na Kaini?? Kama hivyo kwann hairusiwi kuzaa na ndugu yako
Back
Top Bottom