Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

Mungu ametupa uhuru tuwe wema au tuwe waovu hataki kutuendesha kama maroboti. Anataka tumpende kutoka moyoni sio yeye atulazimishe

Yoshua 24:15 BHN

Kama hamtaki kumtumikia Mwenyezi-Mungu, basi chagueni leo hii ni nani mtakayemtumikia
😂😂😂Asa Kama amewapa uhuru mbona kawapa mafuriko....😂😂we unaweza mpa mwanao uhuru afu autumie umzamishe kwenye maji umuue...😂doesn't make sense
 
Wakati wa Mungu wa kuondoa watu wabaya mazima bado ulikuwa haujafika.

Baada ya Adamu na Hawa kumkosea Mungu, kwenye MWANZO 3:15 alitoa huu unabii
Mwanzo 3:15 BHN
Nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, kati ya uzawa wako na uzawa wake; yeye atakiponda kichwa chako, nawe utamwuma kisigino chake.”

Unabii huo utakapotimia ndio utakuwa wakati wake Mungu wa kuwaondoa watu wabaya wasiwepo kabisa
😂😂😂Anamwongelea nyoka na binadamu nyoka atakung'ata na wewe utamuuwa kwa kuponda kichwa chake...acha kujitoa akili Kama mtoto wa nursery.
😂😂 Lengo la kufurika si kusafisha dunia.... mbona uovu uliendelea...so what's the point si angeacha tu...
😂Ehe what's ur defense ?
 
Hakuna mahali Biblia inasema magonjwa ni mapepo. Mapepo na magonjwa ni vitu viwili tofauti

Nyakati za Biblia watu waliumwa magonjwa kama yetu na hayakuwa mapepo mafano Timothy alikuwa na ugonjwa wa tumbo

1 Timotheo 5:23
Neno: Bibilia Takatifu

23 Usiendelee kunywa maji tu bali tumia divai kidogo kwa ajili ya tumbo lako na maumivu yako ya mara kwa mara.

Haijasemwa Timothy alikuwa na mapepo

Hata madaktari wanaotibu magonjwa kama madaktari wa siku hizi walikuwepo kutibu magonjwa kama tunayoumwa leo mfano Luka alikuwa daktari kabla hajawa mtume wa Yesu

Wakolosai 4:14

Luka, yule daktari mpendwa

😂😂😂😂😂Magonjwa ni mapepo according to bible...yaani yanasababishwa na shetani ndo logic ya kuombewa ili shetani ishindwe..😂Taja sehemu kwenye biblia inasema kuhusu vijidudu...au alikuwa hajui
😂Kuna mstari unaelezea mtu mwenye ukoma inabidi ajipake damu ya ndege sijui wawili atapona... yaani mpaka nacheka
 
Surah Al-Nisa (4:82): "Do they not reflect(Think deeply) upon the Qur'an? If it had been from [any] other than Allah, they would have found within it much contradiction."
Jua kuzama matopeni ikoje hiyo?
Mudi kupasua mwezi vipande viwili ikoje?
 
Unaambiwa nyoka akamwambia Hawa 😁😁😂 nyoka alikuwa anaongea bana kwahiyo waliongea lugha gan na kati ndo wametoka kuumbwa ? Na ilikuwaje nyoka akaacha kuongea na binadamu ikiwa laana yake hakuambiwa hatooongea???
 
😂😂😂😂Using the same logic ... Mungu katoka wapi....mbona kapop out of nowhere...na ukisema "alikuwepo" bila kuleta evidence yoyote ...bac na binadamu "tulikuwepo" na hatutakiwi kukupa evidence yoyote
Designer wa Lamborghini unaweza usimjue,... lakini akija mtu akikuambia Lamborghini haina Designer wake utamuona mjinga wa mwisho.

Artificial human,..AKA robots wapo, Unaweza usimjue Designer wa Robot husika,..lakini akija mtu akisema robots hazina Designer wake.,utamuona mjinga wa mwisho.

Hivi kwa akili tu ya kawaida,...unashindwa kujua kwamba inahitaji ujuzi mkubwa mno Kwa vitu kuwa kwenye balance hii tunayoiona kwenye Dunia,..?

Hapo ulipo hauwezi kuunda Brand new Car, watch, Mobile phone etc..,Kwasababu ujuzi huo huna.
Which is the same kwamba,.. hauwezi kuunda mtu, nyuki, sisimizi n.k Kwasababu ujuzi huo huna.

Brother,..Nakupa mifano rahisi ambayo hata layman anaelewa.

Ahsante.
 
Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Umejibu ✔
 
😂😂😂Asa Kama amewapa uhuru mbona kawapa mafuriko....😂😂we unaweza mpa mwanao uhuru afu autumie umzamishe kwenye maji umuue...😂doesn't make sense
Kabla hajaleta mafuriko alimtumia Noa kuwaambia wabadilike.

Mungu kabla hajatoa adhabu kwanza anakuonya ubadilke.

Watu wa Ninawi walikuwa waovu Mungu akamtuma Yona awaonye wabadilike walipobadilika hakuwaadhibu
 
😂😂😂😂😂Magonjwa ni mapepo according to bible...yaani yanasababishwa na shetani ndo logic ya kuombewa ili shetani ishindwe..😂Taja sehemu kwenye biblia inasema kuhusu vijidudu...au alikuwa hajui
😂Kuna mstari unaelezea mtu mwenye ukoma inabidi ajipake damu ya ndege sijui wawili atapona... yaani mpaka nacheka
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ugonjwa na mapepo. Hakuna mstari unaosema kitu kama hicho
 
Unaambiwa nyoka akamwambia Hawa 😁😁😂 nyoka alikuwa anaongea bana kwahiyo waliongea lugha gan na kati ndo wametoka kuumbwa ? Na ilikuwaje nyoka akaacha kuongea na binadamu ikiwa laana yake hakuambiwa hatooongea???
😅😂Achana na hizi story mkuu...kichwa kitauma kwa kucheka
 
Designer wa Lamborghini unaweza usimjue,... lakini akija mtu akikuambia Lamborghini haina Designer wake utamuona mjinga wa mwisho.

Artificial human,..AKA robots wapo, Unaweza usimjue Designer wa Robot husika,..lakini akija mtu akisema robots hazina Designer wake.,utamuona mjinga wa mwisho.

Hivi kwa akili tu ya kawaida,...unashindwa kujua kwamba inahitaji ujuzi mkubwa mno Kwa vitu kuwa kwenye balance hii tunayoiona kwenye Dunia,..?

Hapo ulipo hauwezi kuunda Brand new Car, watch, Mobile phone etc..,Kwasababu ujuzi huo huna.
Which is the same kwamba,.. hauwezi kuunda mtu, nyuki, sisimizi n.k Kwasababu ujuzi huo huna.

Brother,..Nakupa mifano rahisi ambayo hata layman anaelewa.

Ahsante.
😂😂😂😂Simjui designer wa Lamborghini ila kiwanda Cha Lamborghini kipo na ukitaka hata Leo unaweza order Lamborghini likatengenezwa...hamna evidence yoyote Ile ya aina yoyote Ile ya uumbaji...kitu hujui hujui tu...usijitungie majibu. Even if the answer is a creator...bado nalo Lina maswali mengi alikuwa wapi before, alitokeaje, yupoje, kaumba why alikuwa bored au, hapo alipokuwepo alipaumba nani ..etc ..so kuepuka maswali mengi Kama haya...it's best useme cjui..na even if there is a god...u have a very long way mpaka kufikia Jesus au Allah au Zeus is true. Coz it's easy kusema "my god is the creator of everything" ila umesema tu...ndo maana Kuna dini buku kidogo ..
 
Kabla hajaleta mafuriko alimtumia Noa kuwaambia wabadilike.

Mungu kabla hajatoa adhabu kwanza anakuonya ubadilke.

Watu wa Ninawi walikuwa waovu Mungu akamtuma Yona awaonye wabadilike walipobadilika hakuwaadhibu
😂😂😂😂Alifika Australia na Africa na north America huyu Noah...au kipindi hicho dunia nzima ni Kijiji...😂😂alafu we mtu mwenye miaka 800 angekufata kukuonya hivyo ungemsikiliza...why Mungu asimwambie kila mtu abadilike mpaka atumie mtu mmoja how is that fair...😂ubaya ni kwamba kwenye epic of Gilgamesh hivyo hivyo mtu mmoja anafatwa copy n paste
 
Biblia sio kitabu cha sayansi

Ila kipo sahihi kwenye mambo machache ya kisayansi ambayo hata wanadamu hawakuyafahamu mwanzoni

Nikupe mfano mmoja tu Biblia ilishasema kitambo dunia ni duara wakati ambapo wanasayansi walikuwa wakiamini duniani si duara

Isaya 40:22 SRUV
Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia
😂😂😂😂😂😂😂Kudadek...kwa taarifa yako acha kujikosha.
😂😂😂Kama dunia yako ndo ipo hivi anga ni kama "tent" sawa.
 
Attachments

  • Screenshot_20231027-090207.png
    Screenshot_20231027-090207.png
    41.9 KB · Views: 1
NAWAULIZA TENA MUNGU MUWEZA WA YOTE ANAWEZA KUUMBA KITU CHENYE MAARIFA NA UJUZI MKUBWA KULIKO YEYE MWENYEWE?? "Can God create something bigger than himself?"
 
Habari zenu,

Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia:

"Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya Edeni). Kaini akamjua mkewe naye akapata mimba akamzaa Henoko."

Swali liko hapo; Huyo mke wa Kaini alitoka wapi wakati Mungu alikuwa ameumba watu wawili tu na walizaa watoto wawili na kati ya hao mmoja alikuwa amefariki? Huyo mke alitoka wapi, embu tupeni majibu?
Naona wakina Thomaso hatutakaa tuishe itakua mwanawe Adam nae atakua alikimbia kumfuata kain ndio maana Leo hii mama naweza diriki kutembea na mwawe wakiume akili za usiku hizi Dunia inaenda hovyohovyo sasa
 
Idadai ya Waisrael wakati wanatoka utumwani Misri kwenda Nchi ya Kaanani, walikuwa watu laki 6, bila kuhesabu wanawake na watoto
Yesu aliwalisha kwa samaki mmoja na mikate mitano watu elfu tano, bila kujali wanawake na watoto
Sijui kama nitakuwa nimejibu swali lako
Unataka kutuambia kuwa, Yesu hakutambua wanawake na watoto?
 
Back
Top Bottom