- Thread starter
- #121
Hivi kwaakili ya kawaida tukija kwenye mwili wa binadamu ulivyoumbwa kweli Moyo udunde miaka 800 bila kustop kwahiyo ujana unakuwa kwenye miaka 500 au yan. Sielew growth ya huyu mwanadamu anayeishi miaka 800 mfumo wake unakuwaje kwamba hakui au na kama anakuwa inamaana anakuwa anaukaribia uzee na kufa kwahiyo mwamba alikaa miaka 800 em imagine miaka uliyonayo ulivoishi siku zote hizo dunian alaf uongeze miaka 800😁Kuna mtoto mmoja wa kike wa Adamu na hawa ametajwa kwenye Biblia mara moja tuu ila sikumbuki ni kwenye kitabu gani ngoja ntafatilia.
Mwanzo 5:4
Baada ya kumzaa Sethi, Adamu aliishi miaka 800, na kupata watoto wengine wa kiume na wa kike.