chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,132
- 22,555
wewe kila siku unapanda dala dala mwaka mzima huna jpili huna sikukuu huumwi huna likizo, au ndo zile hesabu zenu za motivesheni spika.Tumia kilo wewe watu wanapo lalamika nauli kupanda kwa hiyo mia (japo mimi sio mtumiaji wa daladala nina usafiri wangu) mpate kuelewa hapo piga hesabu:
100×2=200
200×365=73000
Hio 73k ni ongezeko tu la nauli kwa mwaka bado hujawapigia hesabu na wale wanaopanda daladala zaidi ya moja!