Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,705
- 5,946
Sasa hapo hujaelewa nini mkuu au unataka ligi tu? Kuhusu Biblia, Waandishi waliambiwa na mungu mwenyewe waandike. Musa alipelelwa Misri akastaarabike ikiwemo kujua kusoma na kuandika. Waandishi hawakujiandikia ila waliandika kile walichoambiwa na Mungu.Sasa kwa nini Exodus 33:20 iseme kwamba " No man shall see me and live"
Ina maana mwandishi huyo wa Biblia alikuwa hajui kwamba, Musa alimuona Mungu kwa ruhusa ya Mungu na akaishi?
Kwa nini ajichanganye tena?
Nakwambia hivi, Biblia ni Andiko la kutungwa na wahuni wachache kuwahadaa wajinga wasio jielewa.View attachment 2793744
Mfano, wewe Baba msimamo wako ni kuwa hakuna mwanangu atakayeniona akaishi ila akatolea mwanao mmoja akawa anakuomba Baba kama mi ni mwanao na nimepata kibali mbele zako naomba nikuone. Wewe Baba ukamwambia, sawa mwanagu utaniona ila nitaziba mkono wangu usinione hadi oale nitakapogeuka ndio nitaruhusu unione. Usiuone uso wangu ila utaniona nyuma yangu baada ya kupita. Hapo kosa lipo wapi mkuu? Mwanao akija kukuona kwa kibali chako tena ukimwambia ukweli kuwa ukinikna uso wangu utakufa ila nitakuonesha nilivyo kwa nyuma. Sasa shida ipo wapi? Je mwanao amekuona au hajakuona?