Search results

  1. K

    Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

    Bila shaka wamelipwa fidia kikamilifu ndiyo maana hawalalamiki na hata Mbunge wao katulia.
  2. K

    Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

    Naunga mkono hoja. Tatizo langu ni moja.Mhe.Mpango leo hakuainisha mikakati yoyote ya kuimarisha kipato cha mwananchi kwa kupunguza bei za bidhaa mhimu kama vile mafuta ya kula na ya petrol,vifaa vya ujenzi,sukari,umeme,maji nk.JPM alikuwa anaeleza na kufanya kwa vitendo. Njia hii huwa naona...
  3. K

    Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Naomba uweke yote iliyokamilika ili na sisi tuchambue ana kesi au anajisumbusla
  4. K

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    1. Mwinyi,Rais wa Zanzibar 2. Polepole 3. Makonda
  5. K

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Hakika.Amefanya uenezi hasa.Hata viongozi wengi tu wameanza kuiga staili yake akiwemo Jerry Silaa.
  6. K

    Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

    Lakini ana maokoto zaidi ya Msigwa
  7. K

    Inasikitisha sana, yaani sekretarieti ya CCM inayofanya ziara mikoa sita imezidiwa na jeshi la mtu mmoja?

    Makonda,kama ilivyokuwa kwa JPM,kwenye uenezi kaacha viwango vikubwa mno kuweza kufikiwa kirahisi na Mwenezi mwingine.
  8. K

    Makonda acha Uongo, hukugombana na Wauza Unga, Uligombana na kila mtu

    Makonda hakugombana na kila mtu.Watu wa kawaida sisi tulimuona ni mkombozi hapa Dar.
  9. K

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Mikataba yote ya miradi kama hiyo huwa na utaratibu wa namna ya kushughukilia linapotokea tatizo la namna hiyo. Siyo kumuwela mahabusu Afisa wa Kampuni.
  10. K

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    Ni kweli kabisa hakujibu hoja. Ni sawa na hao wanaosema : "tutamlinda Mama".Lakini hawamlindi,badala yake anaendelea kutukanwa.
  11. K

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Makonda alisema mara baada ya kuteuliwa kuwa Mwenezi kuwa Mama Samia alipelekewa majungu dhidi ya viongozi waliokuwepo enzi za JPM na baadhi ya viongozi wa sasa,akawaweka wao. Hao wapeleka majungu wakaendelea na majungu badala ya kutimiza wajibu wao.Ndiyo Mama akaanza kushtuka na kuwaweka akina...
  12. K

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Siyo Tano tu.Mimi naweza kuorodhesha zaidi ya 20 huku nimefumba macho. 1. Kule Bukoba Kuna mwananchi alitapeliwa gari,Makonda akamsaidia kupata. 2. Mwanza alipolalamikiwa kuwa mwili wa Marehemu umeshikiriwa mochuari,aliagiza ukachukuliwe na kuzikwa na akatoa gari lake. 3. Tarime suala la...
  13. K

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Umemuuliza maswali ya msingi sana.Watanzania huwa wepesi kuamini uvumi na porojo bila kufikiri kwa kina.Sabaya aliposhtakiwa watu wachache mno waliojitokeza kutoa ushahidi na baadhi walionekana kupangwa,pamoja na mayowe yote yake kabla hajashtakiwa na baada ya kushtakiwa.
  14. K

    Tetesi: Kumbe Nchimbi aligoma kuambatana kwenye ziara na Makonda?

    Kadinali Pengo hana alimu? Maana anamuunga mkono.
  15. K

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Nimeona akina Nchimbi na Mwenezi wakifuata nyayo za Makonda.Lakini naona wananchi hawawaelewi.Maana ya Makonda ilikuwa amshaamsha kwel
  16. K

    Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Bila shaka baada ya biashara hiyo kukamilika,ACTL nayo wakabidhiwe waarabu hao hao. Maana kama hatuwezi kuendesha mabasi,ndege tutawezaje.
  17. K

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Hapo hakuna ushahidi wowote kuwa aliyefanya hivyo huyo aliyetajwa na kama hayo mafuta ni ya serikali. Lakini kama ni kweli,Mwamba anatuangusha watumishi wenzake.Wenzake leo wameshtakiwa kwa kupiga zaidi ya bilioni 1.2.Yeye anapiga laki mbili tu.
  18. K

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Hapo hakuna ushahidi wowote kuwa aliyefanya hivyo huyo aliyetajwa na kama hayo mafuta ni ya serikali.
Back
Top Bottom