Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa .

Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa .

Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat

View attachment 2970084
Hivi kumbe Chadema mnafanya Uchaguzi? Mbona hakuna anaejua?

Sugu amesema eti mkimchagua ndio atajenga hii ofisi hapa maana wewe na Msigwa ni matapeli 😁 😁 😁 👇
20240421_093718.jpg
 
Hivi kumbe Chadema mnafanya Uchaguzi? Mbona hakuna anaeju?
Wewe ulitaka nani ajue ili ijulikane kama inajulikana CHADEMA kuna Uchaguzi!??

Hao wachukua fomu walichukuaje fomu kama hawajui CHADEMA kuna Uchaguzi.

Na hao waliowasindikiza hao wagombea kina Sugu na Msigwa walikuwa wanawasindikiza bila ya kujua kama kuna Uchaguzi!?

TWAWEZA utafiti wao kuhusu wanaoiunga mkono CCM walikuwa sahihi!!!
 
Wewe ulitaka nani ajue ili ijulikane kama inajulikana CHADEMA kuna Uchaguzi!??

Hao wachukua fomu walichukuaje fomu kama hawajui CHADEMA kuna Uchaguzi.

Na hao waliowasindikiza hao wagombea kina Sugu na Msigwa walikuwa wanawasindikiza bila ya kujua kama kuna Uchaguzi!?

TWAWEZA utafiti wao kuhusu wanaoiunga mkono CCM walikuwa sahihi!!!
Hizi chaguzi hazina maana yoyote zaidi ya kuruhusu wapuuzi kama Lema kupata platform ya kuropoka
 
Hahaha yaani watu wachache hahaha kichama mfu hiki
Mfu kipimo chako ni kipi!?

Mabosi zako hawalali kufuatilia CHADEMA inafanya nini na kutafakari kitatokea nini kama Uchaguzi utakuwa wa Haki na Huru.

Wanawakaririsha nyie kuwa CHADEMA imekufa, Lakini wenyewe hawalali Wala hawali wakashiba kisa CHADEMA!!
 
Ni sawa mkuu ,kumbe mabadiliko mnayopigia kelele ni usaniii tu
Kwani mabadiliko ni nini???

Mabadiliko siyo Uchaguzi Bali Uchaguzi utakaowaondoa wenye mawazo tofauti na watakaochaguliwa.

Mabadiliko ni kuiondoa CCM inayojifanya ni chama cha kijamaa wakati viongozi wake wengi ni mabepari na mafisadi.

Mabadiliko ni kuwaelimisha watanzania wajue kuwa CCM siyo tena chama cha wakulima na wafanyakazi Bali ni chama cha wafanyabiashara, mabepari na mafisadi.

Mabadiliko ni kuwazindua Wana CCM maskini kuwa Ile alama ya Jembe na Nyundo haiwakilishi tena wakulima na wafanyakazi bali huwakilisha alama za Silaha za ugandamizi dhidi yao.
 
Hivi kumbe Chadema mnafanya Uchaguzi? Mbona hakuna anaejua?

Sugu amesema eti mkimchagua ndio atajenga hii ofisi hapa maana wewe na Msigwa ni matapeli 😁 😁 😁 👇View attachment 2970142
Yaani wanamwita tapeli kiuhalisia ndio mfuasi pekee alieko chadema anaejitambua 🙆‍♂️🙆‍♂️
Kwa Ivo Uchaguzi mzima unamhusu Lema pekee!!!
Lema ndio anaeonekan kuwa msemaji halisi wa chama ,na kibaya zaidi amekuwa mropokaji kuliko hao wengine ambao walau mungu amewajali akili kidogo
 
Back
Top Bottom