Natabiri Dkt. Nchimbi kutenguliwa nafasi yake kabla ya 2025

Upepo unasoma kwa Henry James kuwa mwenezi miezi michache ijayo au Makonda kurudi kwenye hiyo nafasi. hawa wazee wangepumzika tu..
 
Nungav
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
Naunga mkono hoja
 
Sukuma gang mnashida sana. Tatizo lenu hamuwezagi ku survive kwenye mifumo inayotumia akili na maarifa kujiendesha. Mnaweza ujinga, roho mbaya, chuki , fitna na uuaji tu.

Kubalini tu sio zama za ujinga wenu hizi.
Wewe unajuaje kwamba hapa mtu kakufanyia roho mbaya kama na wewe sio mroho mbaya..?
 
Bora kwenye wenezi wangemuweka hata King Msukuma kidogo yule na darasa lake la saba ana hoja na anajua kujenga hoja angesaidia kukitetea chama ila hao jamaaa ni futuhi.Hivi tuseme ukweli tu yule makala anaweza kujenga hoja ama ww unaweza kweli kupoteza mda kwenda kuwasikiliza jamaa hao.
 
Rais Samia kutunukiwa udaktari wa heshima nchini Uturuki​

April 17, 2024
Share

2 Min Read
1a283b59-6b17-4afd-a87a-af389bebe8c4-860x601.jpeg

SHARE

Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uchumi kwa kutambua Uongozi wake wa kipekee ambao umeleta mageuzi makubwa ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi nchini Tanzania. Mageuzi hayo yameboresha ustawi wa Watanzania; na kuimarisha sifa ya Tanzania ulimwenguni; na yamekuza mahusiano ya kibiashara, kiuchumi na kisiasa kati ya Tanzania na nchi nyingine, ikiwemo Uturuki.
Hafla ya kukabidhiwa tuzo hiyo itafanyika kesho Alhamis Aprili 18 mwaka 2024, saa sita mchana, katika Chuo Kikuu cha Ankara na ikiongozwa na Prof. Necdet Ünüvar, Mkuu wa Chuo, na kushuhudiwa na Wahadhiri na wanafunzi wa Chuo hicho. Pia, hafla hiyo itahudhuriwa na Mabalozi wa nchi za Afrika wanaowakilisha nchi zao Uturuki.
Akizungumzia tuzo hiyo. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, amesema baada ya tukio hilo, Rais Samia ataelekea katika Ikulu ya Uturuki na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Uturuki Mhe. Recep Tayyip Erdogan kwa mazungumzo rasmi na Dhifa ya Kitaifa.
Baadaye Rais Samia ataelekea jijini Istanbul, mji mkuu wa kibiashara wa nchi ya Uturuki, kwa ajili ya kushiriki kwenye Kongamano la kibiashara la Tanzania na Uturuki ambalo litahudhuriwa na Makamu wa Rais wa Uturuki.
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!
Kwa hali ya sasa ya siasa ilivyo sivutiwi nao,namuomba raisi wangu atulize kichwa na alione hili,bado wapo wenye mvuto kwa hizo nafasi ndani ya chama...
 
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia wanaongelea ajenda za wakuu wa mikoa na wilaya na wabunge, mwananchi tofauti na ukilinganisha na nyomi za Makonda na alivyokuwa anatengeneza ajenda za kugusa maisha ya watanzania.

Kibaya kabisa utamsikia CDE Makala anasema mpigieni Makofi katibu mkuu (hahahahah, yaani badala ya watu waone pointi wapige makofi wanaamrishwa). Inaonekana kabisa hawana ushawishi na wanampotezea Dkt Samia kura nyingi ambazo Makonda alikuwa keshaanza kuzirudisha kwa CCM.

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025!u
 
Kwenye hotuba yake ya kwanza tu alishawatahadhalisha kuwaambia nadhani mnajua misimamo yangu kama hamuiwezi ni bora mkaniondoa mapema mwisho wa kunukuu,anaishi anachokiamini na je unadhani hayuko sahihi?
 
Hahaaa😂😂😂
 
Ko

Natabiri Dkt Nchimbi atatenguliwa ukatibu Mkuu kabla ya 2025

Naungana nawe. Nahisi wana ajenda ya siri ya kumuangusha boss wao. Kijana yule,acha kabisaa. SSH alipata jembe kwelikweli kwa wakati sahihi. Lakini sasa,mmh,yetu macho.
 
Kwenye hotuba yake ya kwanza tu alishawatahadhalisha kuwaambia nadhani mnajua misimamo yangu kama hamuiwezi ni bora mkaniondoa mapema mwisho wa kunukuu,anaishi anachokiamini na je unadhani hayuko sahihi?
Nadhani udhaifu mkubwa wa Dkt Nchimbi kushindwa kuendana na mabadiliko, hata 2015 hakutakiwa kujitokeza kwa sababu ilijulikana mfumo ulikuwa haumtaki Mzee Lowasa kwa sababu ya hali ilivyokuwa.
 
Back
Top Bottom