Search results

  1. K

    CCM na maneno ya manabii

    , “Ninyi Mafarisayo mnasafisha kikombe na sahani kwa nje huku ndani mmejaa udhalimu na uovu.Wajinga Ninyi! Hamjui kuwa yeye aliyetengeneza sehemu ya nje ndiye aliyetengeneza na ya ndani pia?Watendeeni ukarimu maskini kwa kuwapa vilivyomo ndani ya vikombe na sahani zenu na kila kitu kitakuwa safi...
  2. K

    UKAWA kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

    PRESHA inazidi kuongezeka kila kukicha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015 ambapo sarakasi mbalimbali za kisiasa zinaendelea kuchezwa na wafuasi wa vyama vyote bila kujali chama tawala au vyama vya upinzani. Macho na masikio ya wengi...
  3. K

    Viwanja vinauzwa mapinga nyuma ya shule ya mtambani mita mia mbili kutoka barabara kuu ya bagamoyo r

    Viwanja vizuri vinauzwa kwa bei poa karatasi zote husika zipo za serikali bei ya viwanja robo eka milioni 16 20 kwa 25 shs 10,000,000. Maji umeme upo kuwai kwako ndio kupata eneo zuri maeneo ya karibu na snake park na njia ya kenda simba motors karibuni wote number ya cimu 0765604293
  4. K

    Abas Mtemvu mbunge aliyesahau majukumu yake kwa wana Temeke...

    Sina mengi sana ya kuongea ila hatujamuona jimboni tokea amechaguliwa na alitoa ahadi tele lakini hamna ata moja aliyoitekeleza je huu ni uungwana au uhuni?
  5. K

    Hivi Tanzania hii kuna siasa za Utumbo?

    tokea jana kama mwanademoksia na pia mkombozi wa nchi ninayoipenda na pia mwanafamilia wa JF unajua kunamaneno ambayo watu wanaweyekusema wakiwa kwao nyumbani na familia zao lakini kuja jamvini na kusema siasa za tanzania kusema ni utumbo kweli kabisa hiyo si sawa usawa uwepo kwa kila mtu na...
  6. K

    Nape, toa tamko kama mara ya kwanza kuhusu kada wa chama kuhusishwa na mauaji ya Arumeru

    kama kawaida yake kama anavyojiita mzalendo mauji ya mwana chadema yamefanywa na kada wa ccm kama chama kinachukuliaje tunaomba tamko
  7. K

    W J Malecela anafikiria au zuzu .asilimia 100%

    Tokea nimeanza kusoma maelezo yake hapa jukwaani anaonekana kama mtu ambaye akishindwa anatapata. Hata mzee wake alikosa nafasi ya kugombea urais kwa maneno yake, matatizo yako William Malecela, inabidi ungalie kwanza ndani ya chama chako kama kuna wasafi au la. Siasa za Tanzania zinahitaji...
  8. K

    Nape, unapambana na ufisadi au unajiunga nao ili upate ubunge 2015?

    angalizo ndugu nape yale yote uliyoyasema kujivua gamba ndani ya siku tisi kufukuzwa uanachama ndani ya chama mbona bado wapo haya tunakusubiri ndani ya arumeru ukaanze kampeni unahaabisha chama kama siasa uwezi iwache au jiunge upande nnawo
  9. K

    Mgomo wa madaktari .serikali inachukuli mzaa wakati watu wanakufa

    madaktari wote waliogoma sisi kama wananchi tunawaunga mkono asilimia miamoja kwa ajili madai yao yote ni ya msingi ila serikali inaona kuwa hawana mcna kwa sasa kwa ajili ata wao wakiumwa wanatibiwa india wakati hiyo pesa zote wanazopeleka india wangetumia kuboresha huduma hospitali za nyumban4...
  10. K

    mwenyekiti wa vijana wa ccm ambaye alichakachua umri amekuwaje mbunge

    aliyekuwa mwenyekiti wa vijana ccm taifa na sasa hivi ni mbunge ambaye ana kashfa ya kuugushi umri wake mbona ajivui gamba
  11. K

    Hotuba ya JK jana inashiria mwisho wa CCM

    Katika hali ya kushangaza JK jana alisema ccm lazima ibadilike iweze kusonga mbele na pia katibu uenezi na wenzake waendelee kupiga domo kwa manufaa za chama h hii sehemu ndogo tuu inashiria ata yeye kama mwenyekiti aoni kama chama kina mvuto zaidi kudai posho bungeni tia maji maji si dhani...
  12. K

    Serekali imechanganyikiwa.:1

    katika hatua ya kushangaza spika na waziri mkuu wamedai posho zimepanda wote wakiliongelea swala hili kwa nyakati tofauti na ofisi ya rais kukanusha kuwa hazijapanda huu ni mwendelezo wa vituko ndani ya serikali hii nani anaongoza nchi
Back
Top Bottom