Hivi Tanzania hii kuna siasa za Utumbo?

king86c

Senior Member
Feb 4, 2012
127
42
tokea jana kama mwanademoksia na pia mkombozi wa nchi ninayoipenda na pia mwanafamilia wa JF unajua kunamaneno ambayo watu wanaweyekusema wakiwa kwao nyumbani na familia zao lakini kuja jamvini na kusema siasa za tanzania kusema ni utumbo kweli kabisa hiyo si sawa usawa uwepo kwa kila mtu na hapa atuko kwa kupandikisha chuki ila naomba J W Malecela atufafanukie hii kwa kauli yake hii sina chuki naye ila mwongoyo yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom