mwenyekiti wa vijana wa ccm ambaye alichakachua umri amekuwaje mbunge

king86c

Senior Member
Feb 4, 2012
127
42
aliyekuwa mwenyekiti wa vijana ccm taifa na sasa hivi ni mbunge ambaye ana kashfa ya kuugushi umri wake mbona ajivui gamba
 
Kifupi jamii ni fisadi wa umri.Ila kwa kuwa mkuu ailmuahidi atapatiwa kazi nyingine labda ndio huo ubunge wenyewe.
 
Back
Top Bottom