Mgomo wa madaktari .serikali inachukuli mzaa wakati watu wanakufa

king86c

Senior Member
Feb 4, 2012
127
42
madaktari wote waliogoma sisi kama wananchi tunawaunga mkono asilimia miamoja kwa ajili madai yao yote ni ya msingi ila serikali inaona kuwa hawana mcna kwa sasa kwa ajili ata wao wakiumwa wanatibiwa india wakati hiyo pesa zote wanazopeleka india wangetumia kuboresha huduma hospitali za nyumban4 rair inabidi atoe tamko kukaa kimya akujengi taifa
 
Back
Top Bottom