Nape, unapambana na ufisadi au unajiunga nao ili upate ubunge 2015?

king86c

Senior Member
Feb 4, 2012
127
42
angalizo ndugu nape yale yote uliyoyasema kujivua gamba ndani ya siku tisi kufukuzwa uanachama ndani ya chama mbona bado wapo haya tunakusubiri ndani ya arumeru ukaanze kampeni unahaabisha chama kama siasa uwezi iwache au jiunge upande nnawo
 
Mgombea wa CCM Arumeru ni Sioi. Igunga Nape alipigwa marufuku asikanyage asije akamchefua RA na bila shaka Arumeru pia hatakanyaga asije akawachefua watu. He now has only one choice, if you cannot fight them...join them. Angesoma sayansi angejua maana ya neno "inertia" - to do work you have to overcome inertia otherwise work done remains NIL. Sisi waswahili tunasema, kagonga ukuta au kaukwaa kisiki.
 
Uyo kilaza Nape nani atampa Ubunge, ameshindwa kuongoza kikundi kidogo cha wauni wa CCM sasa itakuwa Jimbo? ata akichakachua apati kitu.
 
Nilizani Nape kazi yake ni uenezi na sio kufanya maamuzi ya chama. Sishangai waiter/waitress ndiye anayelaumiwa kama chakula anacholeta mezani nikibovu ingawa kazi yake sio upishi; na alivyojasiri bado atapokea lawama zote za ubovu wa chakula nakuwaomba radhi wateja! Call a spade a spade.
 
Back
Top Bottom