Search results

  1. Kilimi

    SUBARU AU MARK X

    ipi gari ni nzuri kwa kununua naomba ushauri
  2. Kilimi

    Wife material anahitajika

    Ninaumr wa miaka 34 ,ni muajiriwa NGOs Nina mtoto mmoja ,mrefu kiasi Sina gari,Sina nyumba nimepanga naish dsm Kama unajua unataka kuolewa na unaumri 27 yrs nicheki, ila uwe na vigezo hivi; 1. Mkristo 2. Uwe tayari kuolewa sio unakuja kwangu kujua 3. Mvumilivu 4. Uwe tayari kuanza nilipo...
  3. Kilimi

    Naomba connection ya kuvua samaki

    Wazee naomba mtu yoyote anaejua au anandugu ambae anavyenzo vya uvuvi naomba anipe fursa hiyo nipo dar ...
  4. Kilimi

    Natafuta connection ya kazi

    Wazee niliomba connection ya kazi humu miezi kadhaa JF mlinisaidia kwa kiwango chake kwa kurespond na tatizo langu la kazi kiukwel nimeapply sehem mbalimbali bado nasubiri majibu lakini NAOMBENI Bado cjafanikiwa. Jana tarehe 16 /12/2023 nimeona Nipeleke familia nyumban kwanza ili nipambane...
  5. Kilimi

    Naomba kufaham hii namba ni ya taasisi gani hapa Tanzania?

    Naomba utambuzi hapo tafadhali.
  6. Kilimi

    Naomba kujua utaratibu wa kuwa na YouTube channel

    Naomba procedure mpaka niwe na yoube channel na je inagharama yoyote
  7. Kilimi

    Hivi ukiwa na namba ya NIDA unaweza kupata passport au mpaka uwe na kitambulisho?

    Hivi ukiwa na namba ya NIDA unaweza kupata passport au mpaka uwe na kitambulisho naomba kujua hapo wakolongwa
  8. Kilimi

    NATAFUTA charger ya PC ya Nokia

    Wazee naitaji Cha PC ya Nokia booklet
  9. Kilimi

    Ufafanuzi kuhusu talaka

    Naomba kueleweshwa hapa mwanamke akiondoka mwenyew bila kufukuzwa alafu hujafunga nae ndoa ila umeishi nae kwa miaka 7 anaweza kurudi kudai mgawane mlichochuma nae ...na kama akija nifanyaje ushauri naomba. NOTE sijamfukuza mawenge yake
  10. Kilimi

    Naomba kazi ya saidia fundi

  11. Kilimi

    Anaejua madalali waaminifu feri naomba anionganishe nae

    0693392242 natafuta dalali waaminifu kwenye samaki nimpe tenda
  12. Kilimi

    Kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi

    Wazee kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi Nina familia hapa nawaza mpaka bas naomba atakama sio kazi ambayo nimesomea naomba kazi yoyote halali ambayo itanitoa kwenye mapito haya wakati nasubir mungu afanye wepesi na mungu atakubariki ....(nipo kwenye kipindi kigumu)...
Back
Top Bottom