Naomba connection ya kuvua samaki

Kilimi

Member
Jan 11, 2023
78
109
Wazee naomba mtu yoyote anaejua au anandugu ambae anavyenzo vya uvuvi naomba anipe fursa hiyo nipo dar ...
 
Kwamba mpaka kuvua samaki inahitajika connection 😂😂embu kuwa serious kidogo..
 
Wazee naomba mtu yoyote anaejua au anandugu ambae anavyenzo vya uvuvi naomba anipe fursa hiyo nipo dar ...
Nenda kwanza katafute mganga kwanza mzuri wa pwani akuzindike .kisha wa mkoani hasa sengerema nae akuzindike ndo ukavue .hainaconnection ni kazi ngumu kuliko kuchimba vyoo ukisema unataka pale ferry umepata
 
Wazee naomba mtu yoyote anaejua au anandugu ambae anavyenzo vya uvuvi naomba anipe fursa hiyo nipo dar ...
Mkuu uvuvi utaweza ngugu yangu sio kazi raisi kama unavyo fikiri.Mimi niko huku lakini kati ya kazi ambazo naziogopa ni iyo.
Mkuu usiombe,wenyewe wanasema KUPANDA DORO. Unaelewa uwo msemo?
 
Nenda Kilwa, serikali imetengeneza bandari nzima ya uvuvi. Huwezi kukosa kazi huko.
 
Kwamba mpaka kuvua samaki inahitajika connection embu kuwa serious kidogo..
Kila sehem inaitaji connection unafikiri hizo Bahar ,maziwa,mito yapo tu bila kusimamiwa pale tu ferri huwez ingiza mtumbwi wako kiholela mtu akiuliza jambo jaribu kujibu kama mtu mzima kidogo
 
Kama unaanza nenda Msasani Soko la Samaki mtafute nahodha wa chombo chochote kidogo. Umuombe kuwa msaidizi wake na ujifunze kazi. Pale Ferry Magogoni wajanja wengi posho yako kuna watu ukirudi wanataka uwape mgao wakati mwingine unarudi pesa ya kujikimu tu
 
Itakuwa upo vizuri na umejipanga,kazi ya uvuvi,mambo ya majini ni hatari sana labda uwe unaenda kuvua mchana upate kitoweo au wavuvi wale wa kitaalamu ila hawa wengine wanaweza kukutosa majini..
 
Back
Top Bottom