Naomba kufaham hii namba ni ya taasisi gani hapa Tanzania?

Kilimi

Member
Jan 11, 2023
77
108
Naomba utambuzi hapo tafadhali.

Screenshot_20231212-175933.jpg
 
duh, isijekuwa ya kuzimu. manake mitandao hiyo yote na makampuni makubwa wana connection ya freemason. najua wengi watabisha.
 
Sasa we mtu humjui unamjibu uko Dar es salaam. Sasa unatuuliza sisi tena jamani. Kwanini una entertain mawasiliano na mtu usiyemjua
Nimeuliza ili kufaham tu tu inawezekana kuna mtu anajua kuuliza sio ujinga ndugu
 
Back
Top Bottom