Search results

  1. B

    Nimekutana na changamoto hii nikifuatilia passport, naombeni ushauri

    Mambo ya siwe mengi tafta laki5 afu nenda tena.
  2. B

    Wafanyabiashara hukwepa kulipa Kodi kwa kuwapa wateja Customer bill huku wateja wakiamini tayari Kodi imekatwa

    Waajiriwa wengi tarehe hizi mnakuwa na jeuri sana na kuona maisha mshayamaliza ikifikaga tarehe kuanzia 10-20 mnatiaga huruma na kuanza kukopakopa kwa haohao unaotaka wakamatwe na TRA.
  3. B

    Naomba ushauri kuhusu haya mahusiano ndugu zangu, nimekwama

    Kuacha/kupenda ni automatically reaction na si influencing situation. Kiufupi kila jambo lina muda na sababu ya kutokea. Sababu na muda wa kumuacha ukifika wala hutatumia nguvu kubwa na pengine hautahitaji hata ushauri kwa mtu.
  4. B

    Karia asiruhusiwe kusafiri na Yanga, ndiye adui namba moja wa Yanga

    Nature ya mashabiki wa YANGA ni kulalamika lalamika kama wajane huku nature ya mashabiki wa simba ni Hasira zakijingakijinga kama mapepo
  5. B

    Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Ushaona wapi mwanaume anajisifia kupendeza mbele ya mwanaume mwenzake kama sio kutangaza biashara??.. by the way wenye akili tushaelewa. Vipi mafuta unayo?
  6. B

    Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Dar kila nyumba ina mwanaume shoga
  7. B

    Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Ko telegram mmeshindwa mmehamia jamii forum??.
  8. B

    Kuwa mwanaume wa Dar lazima uwe na pesa

    Mashoga mna njia nyingi za kutafuta mabwana [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. B

    Mnao jiita waganga na wachawi, mmeshindwaje kuwadumaza (kuwapiga ganzi) hao waarabu kwa mkapa mpaka wanaondoka na furaha

    Kwani waarabu wamekuja kucheza na waganga au kucheza na Yanga?
  10. B

    Utafanya nini ili uwe na hamasa ya kusoma?

    Angalia vizuri kampani yako. Mara nyingi watu tunaoambatana nao wamebeba mood zetu. Chakufanya tafta kampani ya wasomaji watakuathiri na wewe utajikuta unasomasoma ht kama sio kama wao lakini kwa kiasi chako
  11. B

    Malezi ya baba yameniathiri, napata tabu sana kuishi na watu

    Pamoja na kuwa CEO wa tu miradi twangu kadhaa ila bado pia nafanya kazi na mashirika na serikali na nakuwa chini ya watu. Sijawahi jutia hili
  12. B

    Malezi ya baba yameniathiri, napata tabu sana kuishi na watu

    Sawa. Ila tambua kwamba me naona nikosawa ispokuwa watu wanaonizunguka kuna vitu wanaona siwatendei haki kulingana na misimamo yangu. Na ukiangalia most of behaviors sio mbaya ila napata tabu kuishi na jamii ambayo ipo kinyume changu.
  13. B

    Malezi ya baba yameniathiri, napata tabu sana kuishi na watu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duh!
  14. B

    Malezi ya baba yameniathiri, napata tabu sana kuishi na watu

    Kama ilivyokuwa kwa familia nyingi za kikwetu inapoanza migogoro ya kindoa haijawahi waacha watoto salama. Nikiwa kinda sana kwenye miaka ya 1995/96 wazee waliingia mtafaruku na kujikuta wameachana hivyo kusababisha mgawanyiko wa watoto kimalezi mana MAMA alibakia na baadhi ya watoto na BABA...
  15. B

    USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    "Hakika mwenyezi Mungu habadirishi yaliyo katika umma mpaka wabadirishe yaliyo katika vifua vyao".. ukitaka matokeo tofauti fikiria tofauti fanya tofauti na ambatana na watu tofauti. Namaanisha ukitaka Mungu akuongoze lazima ubadirike kuanzia fikra hadi matendo. Sasa we bado una kabwana afu...
  16. B

    USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Kwa sisi tunaoamini katika MWENYEZI MUNGU tunaamini mwenyezi Mungu hamuonei wala habagui mtu na kila kinachoendelea katika maisha yako ni QADARI . QADARI ndio kheri kwako ko unapolikosa jambo ndio kheri kwako ikiwa kama si uzembe wako na unapolipata jambo ndio kheri kwako ikiwa kama si dhuluma...
  17. B

    USHAURI:Kama namna naweza kuzuia na hali hii

    Sawa afande Rama tumekuelewa
  18. B

    Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

    Kipindi mnatuomba pesa mtupime kama tunawapenda na sisi tunawanyima kuwapima kama mnatupenda bila pesa
  19. B

    Naomba nijiunge kwenye hii familia?

    Duh! Tumefikia huko?[emoji15][emoji15][emoji15]
  20. B

    FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we mganga hatimae nimeamka.
Back
Top Bottom