Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,390
- 21,043
Kwa mwanamke sioni ubaya kwasababu kwa dini yangu nyie watu hamuhesabiwi wanahesabiwa wanaume pekee kwahiyo kubadili dini naona ni sawa kwa mwanamke.Usibadili dini kisa ndoa nasema USILOGWE..