Utafanya nini ili uwe na hamasa ya kusoma?

Wakuu nimejikuta nimekuwa mvivu sana hasa kwenye mambo ya kusoma, sina mood kabisa sijui nifanye nini.

Hamna ninachowaza useme hela au mapenzi, hamna chochote, nipo tu yaani sielewi japo nahudhuria lecture na kuelewa vizuri ila kusoma ndio imekuwa shida.
Angalia vizuri kampani yako. Mara nyingi watu tunaoambatana nao wamebeba mood zetu. Chakufanya tafta kampani ya wasomaji watakuathiri na wewe utajikuta unasomasoma ht kama sio kama wao lakini kwa kiasi chako
 
Mmmh au basii tu
Huwa sina tabia ya kucomment on trivial issues Ila kwa kuwa you're young ,let me set you straight bila Kona.
As you advance in your law career utagundua 98% of what you study in practice hutakitumia ,ni principles of law very important but as a matter of principle ,in practice mambo ni tofauti Sana ,complex legal scenarios, i.e utapatana na jurisprudence where a person owns the property above but not the land it sits on , this will confound you kwa kuwa ina violate all common law property laws. The jurisprudence is murky still Ila as an advocate lazima utafute ways to find justice .
Hao wanao kupa sympathy advice watakufelisha , law is a developing field ever evolving ,ulipo najua bado judges obiter na ratios hujajua kusoma .
In this field find the passion to read Kama huna force your way through ,chanua mbuga mpaka uzoe ,time is a luxury you will never have .
Unless una mpango wakwenda boring and lazy fields za NGO where things are broadly static ntakuelewa ,Ila Kama unataka challenging fields Kama tax law ,property law ,conveyancing ,commercial law , take my advice ,get off your comfort zone poteza company uliyonayo ,jikite kwa vitabu na utafute a law firm go practice when you're free .
Otherwise taking advice from vijana mlioshule pamoja au sympathy advice ,utanipata in court litigating or any other well read advocate ,utanyooshwa both in discovery mpaka deposition .
Soma
 
Kusoma ni technique.
Cha kwanza unatakiwa uwe una vitu vizuri vya kusoma, sio unakaa unasoma lecture notes au compendium za Mhadhiri wako.
Ukitaka kupata mzuka wa kusoma, ingia google tafuta resources mbalimbali za kitu ulichosoma utaona vipo tofauti kidogo na vinakupa hamu ya kusoma haijalishi ni muda gani. Lakini pia kusoma vitabu library itakuongezea hali pia, maana ukisoma bila kupata challenge ya kuufikirisha ubongo hapo uvivu lazima ukuvizie.
Mwisho, ukiwa makini class na ukasikiliza vizuri lecturers pamoja na kuwa participatory yaani kuuliza maswali na kujibu, huhitaji muda mwingi wa kujifungia na kuhangaika kujisomea.
Kila la kheri Mkuu.
 
Huwa sina tabia ya kucomment on trivial issues Ila kwa kuwa you're young ,let me set you straight bila Kona.
As you advance in your law career utagundua 98% of what you study in practice hutakitumia ,ni principles of law very important but as a matter of principle ,in practice mambo ni tofauti Sana ,complex legal scenarios, i.e utapatana na jurisprudence where a person owns the property above but not the land it sits on , this will confound you kwa kuwa ina violate all common law property laws. The jurisprudence is murky still Ila as an advocate lazima utafute ways to find justice .
Hao wanao kupa sympathy advice watakufelisha , law is a developing field ever evolving ,ulipo najua bado judges obiter na ratios hujajua kusoma .
In this field find the passion to read Kama huna force your way through ,chanua mbuga mpaka uzoe ,time is a luxury you will never have .
Unless una mpango wakwenda boring and lazy fields za NGO where things are broadly static ntakuelewa ,Ila Kama unataka challenging fields Kama tax law ,property law ,conveyancing ,commercial law , take my advice ,get off your comfort zone poteza company uliyonayo ,jikite kwa vitabu na utafute a law firm go practice when you're free .
Otherwise taking advice from vijana mlioshule pamoja au sympathy advice ,utanipata in court litigating or any other well read advocate ,utanyooshwa both in discovery mpaka deposition .
Soma
Hii Mkuu, umemaliza kila kitu hasa hapo ulipogusa kuwa ishu ni kutoka comfort zone pamoja na kupractice kitu ulichojifunza. Njia hii imenijenga sana, na ninamshauri jamaa aishi humu.
Be blessed💪
 
soma jilazimishe sana kusoma ni kupambana na mateso kubali kuumia kwa mda mfupi then uNapumzika jumla baada ya kumaliza SOMA usije jilaumu badae wengine tunajuta kwann hatukukaza sana na tulisoma kibishoo
 
me nmeanza chuo npo mood less hadi namaliza nipo mood less.., yaan mzuka wa kusoma sikuwa nao kabisa ila nashukuru nilimaliza salama kwa miaka yote minne
 
Habari za jioni wana Jf. Napenda kuwashukuru wote kwa ushauri mzuri mlionipa kipindi nilipokuwa nashida hasa changamoto ya kusoma , kiukweli nilijitahidi kusoma , wakati nikiwa nimekaa naenjoy nilikuwa nakumbuka baadhi ya ushauri mlionipa ,.Asanteni sana wakuu . Mungu awabariki sanaa.
Matokeo yametoka, yana mwezi sasa tangu yatoke, bado nilikuwa nayafurahia na kupanga mikakati yangu. Nimeshidwa kwenda field kwa sasa kwasababu ya mambo ninayofanya, ila naamini mwaka wa tatu nitaenda field vizuri . Asanteni muwe na usiku mzuri , nawapenda wote .
 
Back
Top Bottom