Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

Wanawake hamna shukrani.. mkipewa hivyo mnatuona mabwege na mmetuweka mkononi...

Hakuna mwanaume anaechomoka kwa mwanamke anaejielewa sana nakujiheshimu na kumuheshimu mwanaume wake na kumtii
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare.

Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga

Wanawake hawaeleweki. Ukijali sana wanakuona una kera, ukipunguza ndio wanapenda. Na hii ni based on experience kabisa.
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare.

Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga

Unajua pia sifa za mwanamke ambaye wanaume wengi wanampenda?
 
Yaani mimi nitafute pesa kwa ajili ya mwanamke ....labda kama hiyo K yake atainyofoa na kunipatia mimi
20230409_151755.jpg
 
Ila mbususu zetu mnazipenda, na kuuliza umepika nini uniletee mnapenda pia ila kutoa hela kidogo za matumizi mnashindwa bado show zenyewe dhaifu, tukichepuka mnapaniki
 
Back
Top Bottom