Search results

  1. K

    Barabara za Mtaa Kibaha Maili Moja hali ni mbaya, Mbunge kaingia mitini, DC na RC wameuchuna tu

    Hii ndio Tanzania, hapo watatizama kisha watapuuzia kama kawaida yao
  2. K

    Zamani ukitembelea nyumbani kwa mtu unapewa albamu ya picha uangalie, siku hizi unapewa nini?

    Siku hizi mgeni ukifika wewe ndio unaomba chaja au kuwauliza wenyeji wako kama wana page za Instagram, mambo ya albamu za picha zilipendwa
  3. K

    Kuna kitu gani ambacho mtu wako wa karibu anakifanya hukipendi lakini unashindwa kumwambia?

    Upo kama mimi, nikiona mtu anafanya hivyo hadharani huwa inanikata kinoma, tena afanye Mwanamke ndio kabisaaa
  4. K

    Baada ya kauli ya Waziri Bashe na TBS kuhusu Mchele wa msaada toka Marekani, nini kinaendelea?

    Majibu yao tu yanakupa picha kuwa nini kinaendelea
  5. K

    KERO Mabasi ya Abood (Dar - Moro -Dar) yanajaza abiria kupitiliza kama Daladala za Mbagala, hii si sawa

    Ilishawahi kunitoke pia japo halikuwa katika hili basi, ilikuwa basi la kampuni nyingine, nilihisi nimepanda Daladala zile zilizojaa, joto kubanana hakuna AC ilikuwa tabu tupu.
  6. K

    Uongozi wa Hospitali ya Bugando chukueni hatua za haraka kurekebisha lifti zenu kabla hazijaleta madhara

    Mie sijawai kuziamin zile lift coz toka nakuwa napata akili naskia lift za bugando mbovu uwa Zina jizima😢we imagine hizo story za lift kuzingua ni toka uko mwaka 2000 Yani ili fika hatua tuki simama kituo cha daladala misheni ukiomba lift konda ana kujibu lifti Iko bugando 😂nenda ikakuzimikie😂
  7. K

    Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  8. K

    Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

    Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
  9. K

    Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda: Mitaala ya mipya ya Elimu imeanza Shule ya Msingi, Sekondari na Vyuo vya Ualimu

    Nakuunga mkono, Walimu wasipotengenezewa mazingira mazuri ni vigumu kuwa na maendeleo ya elimu
  10. K

    DOKEZO Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa anatumia vibaya cheo cha baba yake

    Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
  11. K

    DOKEZO Wagonjwa wanapewa magonjwa ambayo hawana ili Zahanati ziuze dawa

    Nimesoma comments inaonesha wazi kuna jambo halipo sawa kwenye sekta ya afya hasa hizi ngazi za chini.
  12. K

    Washindi wa Kilimanjaro Marathon kuzawadiwa viwanja kutoka Lapex Properties

    Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024. Zawadi hizi zinatolewa kwa kushirikiana na mdhamini Mkuu wa Mbio za Km 42- Kilimanjaro Premium Lager na waandaaji wa mbio hizi. Tangazo...
Back
Top Bottom