Search results

  1. Strong25

    Naomba msaada wa Ushauri wa haraka ndugu zangu

    Huyo ni anakuita mjomba_sasa mtu na mjombaake inakuaje mnatamaniana..? Upuuzi wa kiwango cha lami
  2. Strong25

    Nawezaje kwenda Marekani?

    Kwahiyo kama sijui kabisa ngeli hilo sio tatizo..?
  3. Strong25

    Nawezaje kwenda Marekani?

    Kwaiyo kama sijui ngeli interview sitaweza ..?
  4. Strong25

    Nawezaje kwenda Marekani?

    Lugha gani inatumika kwenye kuhojiwa..?
  5. Strong25

    Nawezaje kwenda Marekani?

    Habarini wakuu__nahitaji msaada wa mawazo ama ushauri au njia gani nipite ili niweze kufanikiwa kuingia marekani _bongo maisha magumu sana Kuna jamaa yangu yuko marekani kupitia yeye nataka namm nikanyage kwa biden Msaada ninao uhitaji kutoka kwako. Kwa upande wangu huku tanzania natakiwa...
  6. Strong25

    Mwanaume usiendekeze majukumu

    Yaah_mana majukumu hayaishi (mpaka siku utakayo kufa bado kuna mambo utayaacha hujakamilisha
  7. Strong25

    Mwanaume usiendekeze majukumu

    Hio mbaya sana kaka__now nimuda wa mabadiliko
  8. Strong25

    Mwanaume usiendekeze majukumu

    Mawili matatu kwavijana wenzangu: Kwenye harakati za kutafuta pesa Kwenye harakati za kutafuta ugali wa watoto Kwenye harakati za kujikwamua kimaisha Kwenye harakati za kutimiza wajibu wako kama baba Bas nawaasa msisahau kujipongeza (nini namaanisha?) Ukiendekeza sana majukumu hautakaa ununue...
  9. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Hahahahaha__fursa juu ya fursa
  10. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Ila ukimuona huwezi mdhania kabisa
  11. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Kuna wengine miaka nenda rudi wapo kwenye makampuni__ila mpaka leo hata pakulala pauhakika hakuna__hiko kitu kinaniwazisha sana ila kuna wale wajanja wajanja tu unakuta amekuja mjini hata posta hapajui ila after 1 year kakuacha parefu sana
  12. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Hio siri ndo inatakiwa tuambiane (what is going on) mana mtu anakuambia ukiwa unafanya biashara jifunze kuweka akiba ila ukiangalia yeye jinsi alivyo anza unaona kabisa akiba yake hauwezi mpa hivyo vitu
  13. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Sasa mbona machoni mwa watu wanawadanganya vingine..? Unakuta mtu uza vitu vya kipuuzi tu ila anamiliki vitu vizito
  14. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Yaah kweli kabisa mkuu
  15. Strong25

    Kwanini hujatoboa mpaka leo?

    Najiulizaga sana, ama wewe hujiulizagi? Kwenye biashara ama mishe hio hio unayofanya miaka nenda rudi unaishia kupata hela yakula tu Ila anakuja mtu moja wala hana uzoefu kiviile nahio biashara ama kazi Ila kwamuda mfupi tu mambo yake yamenyooka Matajiri wa jf mtuambie nimbinu mnazitumia...
  16. Strong25

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Msaada wakuu nataka kuagiza kitu aliexpress__ila kwenye kujaza info za account nimeweka (kadi ya airtel master card__ila wananilitea hivi) naomba msaada kwenye hili
  17. Strong25

    Siamini kama nimepatwa na kukoroma

    Zamani nilikua naskia watu wakisema ukiona mtu anakoroma kwao wanafuga ng'0mbe
  18. Strong25

    Naomba msaada dawa gani nitumie kuweka sawa ngozi yangu

    #watu mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana
Back
Top Bottom