Kwanini hujatoboa mpaka leo?

Mkuu, ni bora kutokuchangia kuliko kuja na porojo za kukatisha watu tamaa bila ushahidi
Nimemzimisha ili watu wenye mchanga chanya walete miongozo, maana hizo porojo zake zinaweza kuuteka uzi wote ukapoteza maana
Mkuu sio kwamba kila anayetoboa ni Mwizi au jambazi hapana. Ila ndio wengi.....wewe kama unakataa huu ukweli basi Hutokaa upate utajiri endelea kujitafuta mdogo mdogo.

Utajiri unakuja kwa njia nyingi. Hasi na chanya
 
Na hiyo hawatwambii matajiri kwa sababu kama ni kufanya kazi na ku hustle watu wengi wanafanya

Kuna wengine miaka nenda rudi wapo kwenye makampuni__ila mpaka leo hata pakulala pauhakika hakuna__hiko kitu kinaniwazisha sana ila kuna wale wajanja wajanja tu unakuta amekuja mjini hata posta hapajui ila after 1 year kakuacha parefu sana
 
Mkuu sio kwamba kila anayetoboa ni Mwizi au jambazi hapana. Ila ndio wengi.....wewe kama unakataa huu ukweli basi Hutokaa upate utajiri endelea kujitafuta mdogo mdogo.

Utajiri unakuja kwa njia nyingi. Hasi na chanya
Nilikwambia hiyo dhana ni very infectious
Angalia sasa uzi wote unaongelea waganga
 
Niliajiriwa miaka ya nyuma kwenye Kampuni ya Mhindi nilikaa kama miaka miwili hivi....then akaajiriwa dogo mmoja hivi.

Aisee baada ya Mwaka mmoja dogo akajenga nyumba. A akanunua na gari.

Ndani ya mwaka huo huo dogo akawekewa mtego.....kumbe alikuwa anapiga hela za ofisi alikamatwa na Dola elfu 8 zikiwa kwenye begi akiwa border anasafiri asepe.

Sisi tulijifanya waadilifu tuliambulia hela ya mboga tu.
Kumbe wewe ni boya Tu

Hahaha njoo nikupe ajira ndg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom