Mwanaume usiendekeze majukumu

Strong25

JF-Expert Member
Dec 6, 2021
301
565
Mawili matatu kwavijana wenzangu:
  • Kwenye harakati za kutafuta pesa
  • Kwenye harakati za kutafuta ugali wa watoto
  • Kwenye harakati za kujikwamua kimaisha
  • Kwenye harakati za kutimiza wajibu wako kama baba
Bas nawaasa msisahau kujipongeza (nini namaanisha?)
Ukiendekeza sana majukumu hautakaa ununue hata boxer wala vest mpya, majukumu kila siku yanaongezeka na pesa haikidhi mahitaji so ukiendelea kuangalia familia tu hata chips hauto kula katika maisha yako yote.

Siku moja moja kaa zako sehemu agiza vitu vizuri kula, kunywa ,vaa pendeza (hata kama nyumbani wamelalia ugali na pilipili ww hio isikuumize kichwa)

Ni kweli inatakiwa tupambane kwaajili ya familia zetu (kutengeneza familia yako nibora kuliko familia uliotoka unatakiwa kutambua hilo ila kuna muda kwakutaka kutimiza kila kitu ndani unaweza jikuta hata mswaki unaotumia ushachoka ila hata kununua mpya unaona utaharibu bajeti (maisha yako utakua mtumwa wa familia yako mpaka unakufa, na ukifa umuhimu wako huku nyuma hautaonekana)

Hiyo familia unayoihangaikia leo kesho haitaona mapambano yako, sio mkeo wala sio wanao (ww ipambanie tu mana hakuna namna ww ndio baba nilazima utimize wajibu wako ila ushauri wangu kwako siku moja moja furahisha nafsi yako hata kwahicho kidogo unachopata)

Tukutane January mwakani
 
Kweli wanaume tujikumbuke na sisi, kuna wakati unaangalia kabati lenu la nguo unaona lote limejaa nguo za mwanamke, za kwako chache unaishia kuzitundika kwenye henga
Hio mbaya sana kaka__now nimuda wa mabadiliko
 
Nacheka kama mazuri yaani eti mwanamke anunue nguo na mimi nisinunue , mara watoto wavae wapendeze mimi nimevaa manguo ya ajabu , eti nyumbani nipeleke nyama mimi kazini nile ugali dagaa ? Mtanisamehe siwezi kabisa lazima nile nishibe kwanza ndiyo mengine yafuate
Maana ndiyo haya unakuta tunazeeka dunia inatucheka kisa ujinga wa natumiza majukumu ya familia kwanza
 
Ni kweli mkuu, mapambano ni makali mno.
Masokoni humu vijana wadogo wamebeba majukumu makubwa mno, mtu kaoa na ana mtoto.
Anabeba mizigo heavy kama trekta, muda wote yuko rough kutokana na kazi yake.

Hana muda wa kuenjoy hata kwa juice ya muwa, anawaza pampas za mtoto na kula ya mkewe.

Huu ushauri unawahusu sana.
 
Mawili matatu kwavijana wenzangu:
  • Kwenye harakati za kutafuta pesa
  • Kwenye harakati za kutafuta ugali wa watoto
  • Kwenye harakati za kujikwamua kimaisha
  • Kwenye harakati za kutimiza wajibu wako kama baba
Bas nawaasa msisahau kujipongeza (nini namaanisha?)
Ukiendekeza sana majukumu hautakaa ununue hata boxer wala vest mpya, majukumu kila siku yanaongezeka na pesa haikidhi mahitaji so ukiendelea kuangalia familia tu hata chips hauto kula katika maisha yako yote.

Siku moja moja kaa zako sehemu agiza vitu vizuri kula, kunywa ,vaa pendeza (hata kama nyumbani wamelalia ugali na pilipili ww hio isikuumize kichwa)

Ni kweli inatakiwa tupambane kwaajili ya familia zetu (kutengeneza familia yako nibora kuliko familia uliotoka unatakiwa kutambua hilo ila kuna muda kwakutaka kutimiza kila kitu ndani unaweza jikuta hata mswaki unaotumia ushachoka ila hata kununua mpya unaona utaharibu bajeti (maisha yako utakua mtumwa wa familia yako mpaka unakufa, na ukifa umuhimu wako huku nyuma hautaonekana)

Hiyo familia unayoihangaikia leo kesho haitaona mapambano yako, sio mkeo wala sio wanao (ww ipambanie tu mana hakuna namna ww ndio baba nilazima utimize wajibu wako ila ushauri wangu kwako siku moja moja furahisha nafsi yako hata kwahicho kidogo unachopata)

Tukutane January mwakani
Yaani kwa kifupi, kwenye kujitafuta usijisahau wewe mwenyewe, jipende

Upe mwili pole kwanza, sio unapata pesa unaanza kulipa madeni kwanza
 
maneno sahihi namna hiyo!
 
Yaani kwa kifupi, kwenye kujitafuta usijisahau wewe mwenyewe, jipende

Upe mwili pole kwanza, sio unapata pesa unaanza kulipa madeni kwanza
Yaah_mana majukumu hayaishi (mpaka siku utakayo kufa bado kuna mambo utayaacha hujakamilisha
 
Mtaalam hapa imebak 250k na ndio mpaka idi itoboe na ikutane na feb na nguo za sikukuu bado wala mchele. Aisee bora kujipasua tu na supu kuku ili upate akili maana ukijifanya unajua bajet unakula ugal na mboga mboga akil inadumaa. Wacha nikasahihishe mitihan kwanza
 
Hizo sikukuu zenyewe kada nyingi wakinababa wanakuwa hawapo majumbani.
Ni watoto na mama zao tu.
 
Umeongea vizuri sana upe mwili wako thamani ya kwanza..
Hawa wanawake tulio nao sio ndugu zetu ni viumbe wanaogeuka Kila dakika so jipe raha kadri upatavyo muda na fedha na majukumu yaendelee..
 
Nacheka kama mazuri yaani eti mwanamke anunue nguo na mimi nisinunue , mara watoto wavae wapendeze mimi nimevaa manguo ya ajabu , eti nyumbani nipeleke nyama mimi kazini nile ugali dagaa ? Mtanisamehe siwezi kabisa lazima nile nishibe kwanza ndiyo mengine yafuate
Maana ndiyo haya unakuta tunazeeka dunia inatucheka kisa ujinga wa natumiza majukumu ya familia kwanza
Tena ni upumbavu uliotukuka, mama yangu aliniambia neno nikiwa mtoto mwanangu ukiwa mkubwa naomba ujipende sisi wanawake hatuna shukrani hata kidogo.
 
Nacheka kama mazuri yaani eti mwanamke anunue nguo na mimi nisinunue , mara watoto wavae wapendeze mimi nimevaa manguo ya ajabu ,
Familia inapaswa kukutunza, wewe ukitafuta yenyewe inakutunza. Mkeo anapaswa kukutunza, mavazi yako, nguo zako, mwonekano wako ni jukumu lake.

Asubuhi akuandalie shati, suruali, viatu. Hata kama umeandaa mwenyewe yeye ana wajibu wa kurekebisha mwonekano wako iwapo upo hovyo, Pesa unayompatia mkeo anapaswa kukumbuka na vishati na visuruali akiwa huko kwenye mihangaiko yake.
eti nyumbani nipeleke nyama mimi kazini nile ugali dagaa ? Mtanisamehe siwezi kabisa lazima nile nishibe kwanza ndiyo mengine yafuate
Maana ndiyo haya unakuta tunazeeka dunia inatucheka kisa ujinga wa natumiza majukumu ya familia kwanza
Unachonunua ndicho mnachokula wote. Chakula unachopeleka nyumbani, ndicho mke anachopika, ndicho baba anachokula ndicho watoto wanachokula.

Kama inawezekana hata mara moja moja chakula cha mchana mkeo anaweza kukuletea ukala au ukaenda nyumbani. Kama wote ni watu wa kazini mara moja moja pitianeni mkale pamoja popote. Watoto pia wanakula mashuleni mchana hivyo hicho chakula cha mchana kinaliwa mara chache na wote, cha usiku ndo mnakula wote.

KAMA HAIWEZEKANI KUISHI HAYO MAISHA HAKUNA SABABU YA KUFUNGA NDOA, ZAENI MLEE WATOTO. MAISHA GANI HAYO KILA MTU KIVYAKE SAWA TU NA WALIO SINGLE?
 
Back
Top Bottom