Zamani hizo Mkuu. Si unajua kubelehe kuna mambo yake...#watu mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana
😅😅😅DR Mambo Jambo yaani inabidi JF IANZE kumlipa😂😂😂😂
Kila mtu akiwa na tatizo ni DR Mambo Jambo , mwanangu ana kikohozi, ngozi yangu imechubuka baada ya kutumia cream dr mambo jambo msaada wako, dr mambo jambo mwanangu ana kikohozi na akiwa anakohoa anatabasamu, dr mambo jambo nimesahau Kuchoma sindano ya power nitakufa dr au nitaendelea kuishi?
🤣🤣🤣🤣
Mwisho na mm Nina shida
DR Mambo Jambo mimi rafiki yangu akija akasema njoo tuongee nina shida nikimuangalia tu usoni lazima nimecheke hata kama kweli yupo na tatizo, ila nikimuona usoni kawa serious na nishazoea kutaniana naye lazima nicheke
Dr mambo jambo msaada wako
Hilo ni jua la siku moja kweli?!Sikuwa hivyo kabla
Meza dawa za mzio nenda pharmacy utakaa sawa kama citrizen au pednisoline#ahsante kwa ushauri__ila sasa mm kinachonikera zaidi hio sehemu inawasha
Ila 😂😂😂😂😂Hapo ushapewa singlendi ya maisha huna haja ya kuvaa za dukani........
DR Mambo Jambo umekuwa Dr maarufu sana hapa jamvini,utasema Dr Janabi,Kila Uzi unaohitaji maelezo naona unaitwa
Vaa nguo inayofunika mwili mzima, achana na vest ndio inakusababishia hiyo haliAu niache kabisa kuvaa vest