Search results

  1. Makambuya

    Mimba ya uongo...je anastahili?

    Wadau mimi nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tupo mbalimbali yeye yupo Dar mimi nipo Dodoma, nimekuwa nifanya kila linawezekana kumwonesha kuwa nampenda ikiwa ni pamoja nakufuata dar mara kwa mara. mwezi August nilikuwa nae kwa muda wa siku3 nakudate nae...
  2. Makambuya

    Natafuta kazi

    Wana jf mi ni kijana wa kitanzania natafuta kazi kama vile: kuuza kwenye maduka ya jumla, hardware, supermarket na statiory. Sifa zangu: 1. Nina umri wa miaka 25 2. Nimehitimu kidato cha6 (HGL). 3. Nafanya kazi kwa kujituma na chini ya usimamizi mdogo. 4. Nina uzoefu wakutosha kuuza maduka...
  3. Makambuya

    Tanzania na maajabu 7 ya dunia, hii vipi wadau.

    Najiuliza hivi ni kwanini TZ tumeng'ang'ania kuingiza Mlima Kilimanjaro kwenye maajabu 7 ya dunia wakati tuna maajabu mengi tu zaidi ya huo mlima? Mfano mdogo unajua kuwa TZ ni nchi ya kwanza kutoa wanafunzi wa darasa la saba hawajui kusoma nakuandika ila wanafaulu mtihani. Hii vipi wadau...
  4. Makambuya

    Kilimo cha Viazi Mviringo (Viazi Ulaya) na Masoko Yake

    Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho. Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi namna ya kupata shamba? Msimu unaanza mwezi wa ngapi? Jinsi ya kulima na tahadhari za kuchukua wakati...
  5. Makambuya

    Tuliojaza fomu za upolisi tukiwa chuoni

    Jamani wa jf mi naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu mchakato mzima wa wale tuliojaza fomu zakujiunga na upolisi tukiwa chuoni mwezi june coz mi binafsi sijui hata kinachoendelea mpaka sasa.
  6. Makambuya

    Serikali, wabunge na tanesco nani wakulaumiwa!

    Serikari kupitia wizara ya nishati na madini ilitoa mkakati wa namna yakukabiliana na tatizo la umeme jambo ambalo lilipelekea bunge kupitisha bajeti ya wizara hiyo, na kwa taarifa ya TANESCO ilitìbitisha kwisha kwa tatizo la mgao wa umeme, lakini kihalisia mgao wa umeme bado upo pale pale na...
  7. Makambuya

    Kigugumizi cha wapiga kura na wala posho (MPs)

    Mara kwa mara 2mekuwa 2kisikia malumbano kuhusu posho, na wananchi 2mekuwa wasikilizaji wakubwa nakubaki kuwalalamikia hawa wala posho. mi ninachotaka kufahamu ndugu wana jf kigugumizi kipo wapi 2nashindwa kuwadhibiti hawa wala posho kama sisi ndo 2naowachagua?
  8. Makambuya

    Kwani akianza yeye kuna ubaya.......?

    Siku hz kuna maendeleo ya sayansi na teknolojia ambayo yamepelekea hata kuathiri baadhi ya tamaduni zetu, ila leo nataka kujua kitu kimoja tu, ugumu upo wapi kwa mdada kuanza kumwambia mkaka anampenda?
  9. Makambuya

    Chips na nguvu za kiume

    Kwa mwenye uthibitisho jamani, je kuna ukweli wowote kuwa ulaji wa chips unasababisha upungufu wa nguvu zakiume?
  10. Makambuya

    Kiuno na mgongo

    Jamani wana JF wenzangu naombeni msaada mwenzenu kiuno na mgongo vinaniuma sana hasa nikiwa nimelala au kukaa kwenye kiti.
  11. Makambuya

    Jamani kiuno na mgongo

    Naombeni msaada wenu hata wa mawazo wana jf, ni wiki ya tatu sasa mwenzenu kiuno na mgongo vinaniuma sana hasa ninapokuwa nimelala au kukaa, nimeshaenda hospitali na nimetumia dawa nilizoandikiwa lakn sioni nafuu zaidi ya maumivu kuongezeka. nifanye nini?
Back
Top Bottom