Search results

  1. wise dide

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Ameenda mwanza as many times na kuzindua too many projects but he's never been in Mbeya since elected kwakuwa tuu Mby ni power house ya M4C This hurts...
  2. wise dide

    Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    The simple way nchi iwe anavotaka yy ni kugombea tuu, watakaomsikiliza lissu na kumuunga mkono ni yaleyale ambao walimtukana lowasa na sasa wanamtukuza!! Mirija yao ya kupigia pesa imezidi kufungwa sasa wanahaha kusaka kiki,kama Vp apumzishwe selo chunya huko Sent from my Vienna using...
  3. wise dide

    Naibu Spika awaamuru Wabunge wa Upinzani watoke haraka

    It's the only way wamebaki nayo kuuzia sura manake live tv hakunaga tena tuwaone wakipigana na askari n they seek is poor tanzanians attention!! I feel sad for how my constituent representative is representing me by staying outside from where I voted for him to stay Viva #magufuli
  4. wise dide

    Chuo kizuri cha Practical Networking

    Wataalamu Naomba msaada KWA WANAOFAHAMU chuo kizuri ZAIDI katika kufundisha kozi za networking kwa vitendo zaidi as nshamaliza kusoma theories now nataka kujua kwa uhalisia
  5. wise dide

    aWaNaJaMiI mSaAdA UNLOCKING CODES ZA HUAWEI E303 AU HATA LINK YA UNLOCKING SOFTWARE

    Ni modem mpya toka voda,Huawei E303!!pliiiiiiiiiiiiz wadau:bange:
  6. wise dide

    JF Ulimwengu wa watatuzi-Ghafla tu PC yangu(Packard Bell) Imeanza kuonesha mistari tu ktk display

    Thanx Guys,&sorry pia wapi ni sehemu possible kwa mm kupata display ya hiyo machine??au just ni possible wakaweka diplays kwa kuzingatia size tu na wala sio manufacturing company(Packard Bell)?? thanks in advance....
  7. wise dide

    JF Ulimwengu wa watatuzi-Ghafla tu PC yangu(Packard Bell) Imeanza kuonesha mistari tu ktk display

    Jamani mwenzenu ndo hivo tena ,yani juzi naiwasha ndo imeanza kuonesha rangi rangi na mistari ya rangi mbali mbali zikitokea juu kushuka chini ktk display!!kifupi tu saiz haioneshi chochte zaidi ya hayo....msaada plz wadau
  8. wise dide

    Et wazoefu ni ipi photo Editor ya hadi kumuwekea m2 kichwa cha Nyaaaauu....??

    thanx wadau,ngoja nizchek hzo mambo,............:heh:
  9. wise dide

    Hivi inawezekana kutenganisha BEATS na MANENO ya same track?

    :tongue:What z this software plz :shock:&How does it work,U can tel plz if u feel it.......:lol:
  10. wise dide

    Et wazoefu ni ipi photo Editor ya hadi kumuwekea m2 kichwa cha Nyaaaauu....??

    plz nataka kujua photo editor inayoweza ku'edit picha kwa kiasi kikubwa cha effects kama za kubadili viunga vya bin adamu n.k
  11. wise dide

    Nawezaje kumpa mtu link

    UKIBOFYA
  12. wise dide

    Great thinkers pliiiiz,picha hazionekani ktk folder

    SORRY PLIZ NAHITAJI MSAADA AS KUNA PICHA ZA MATUKIO YA MUHIMU SANA NILIPIGA KWA DIGITAL CAMERA LKN ZMEGOMA KUFUNGUKA KWA MEANS ZOTE NILIZOJARIBU LKN FOLDER LINASOMA KUWA NDANI KUNA VITU VYENYE 3.36GB LKN NKFUNGUA INADAI FOLDER EMPTY!!NMEJARIBU KUKOPI HILO FOLDER KTK FLASH,MEMORY KADI NA KUTEST...
  13. wise dide

    Tatizo la modem za vodacom kwa huku Mbeya

    Hwapendi tu kusema ukweli kwa hofu ya kupoteza wateja ila tiGO wako open kimtindo kwa pale mby as jamaa alinambia kuwa just wanatangaza tu ktk media ila MBEYA hakuna 3G ndo mana tiGO & Airtel zinazingua kupitiliza bora kidogo vodcom ina speed ya KINYONGA!!MBEYA ni kwetu ila YATAKA MOYO aiseeeeeh....
  14. wise dide

    mdau yyt ATAEJISIKIA naomba anielimishe khs MECHANISM YA VOCHA KWA HZ MITANDAO

    nini kipo behind the scene ktk huu mchezo wa vocha ktk mitandao yetu hapa Tz??kuna wadau tyr washafanikiwa ku'hack'????
  15. wise dide

    nasaka mrembo wa kutoka naye this weekend <18-22years of age>

    ncheki kwenye line kama una amini una vigezo(0752-29 16 06)
  16. wise dide

    nimekuja chuo hapa mjini daslam bt life ishakuwa tite so cute mwenye mkwanja anitafute plz!!

    kama upo serious naomba unitafute kwa 0759294263 pliiiiiiiiiiz hakikisha waweza nilea na raha zoooooote za dunia utazipata!!
Back
Top Bottom