JF Ulimwengu wa watatuzi-Ghafla tu PC yangu(Packard Bell) Imeanza kuonesha mistari tu ktk display

wise dide

Member
Nov 21, 2011
26
1
Jamani mwenzenu ndo hivo tena ,yani juzi naiwasha ndo imeanza kuonesha rangi rangi na mistari ya rangi mbali mbali zikitokea juu kushuka chini ktk display!!kifupi tu saiz haioneshi chochte zaidi ya hayo....msaada plz wadau
 
Thanx Guys,&sorry pia wapi ni sehemu possible kwa mm kupata display ya hiyo machine??au just ni possible wakaweka diplays kwa kuzingatia size tu na wala sio manufacturing company(Packard Bell)??
thanks in advance....
 
Ukitaka kununua original display brand new na kuwekewa na authorised dealer bei yake inaweza kuwa kubwa kuliko kununua laptop nyingine tu. Ukinunua display used au fake na kuwekewa na fundi "wa mtaani" huna guarantee ya life ya hiyo display.
Ningekuwa wewe ningefikiria kutafuta laptop nyingine tu.
 
Back
Top Bottom