Search results

  1. S

    Ukiniandikia kwa maandishi haya, hata kama nilikuwa na mpango wa kukutolea mahari nahairisha

    Mtu mzima na akili zake anakuandikia ujinga eidha mnachati kwa sms au kakuandikia barua, au email, au hata hapa JF, au mtandao wowote ule........Anakaa kabisa anaanza kuandika.........xaxa ile ixhu, xijui nitaxemaje. thankx, umexemaje.... Nakwambia ukiniandikia hivi hata kama wazazi wazazi wako...
  2. S

    Nimeahirisha kuoa.

    Ndugu wapendwa wa MMU, Nimeona niahirishe kuoa baada ya kukutana na wapenzi 2 humu jf tukakubaliana na suala zima la ndoa lakini mwisho wake wananitosa. Mmoja tulifikia hatua ya kwenda kutambulisha dakika za mwisho akaingia mitini. Wa pili tulifikia hatua ya kuonana tufahamiane baada ya...
  3. S

    Mke mwema hutoka kwa Mungu.

    Wakuu ni hivi: mimi ni mwanaume, umri wangu ni 30yrs. Mwaka jana mwanzo nikiwa nyumbani kwangu nawaza jinsi nitakavyopata mke wa kumuoa, alikuja mwanamke 1 mjamzito. Akanikuta niko kwa nje dukani kwangu akaniomba apumzike kidogo kwani alikuwa amechoka na amechomwa na jua. Wakati huo ilikuwa...
  4. S

    Kila ninaempata ananizidi kielimu.

    Ndugu wana MMU poleni kwa majukumu. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa kutosha kuwa na familia. Shida inakuja pale ambapo kila mchumba ninaemuona ananifaa kuoa na anaendana na sera zangu ananizidi kwa elimu. Nikimpata mwenye sera kama za kwangu aniuliza nina elimu ya kiwango gani?nikimwambia elimu...
  5. S

    Kukatia gari ndogo Insurance.

    Wakuu poleni na majukumu. Naombeni kujuzwa kwa mtu anaefahamu kwa sasa gharama za kukatia gari ndogo Insurance. Gari zenyewe ni kama Mark II, Suzuki vitara, swift. n.k. Namaanisha Insurance ndogo na siyo kubwa. Asanteni.
  6. S

    Kila nikimkumbuka naumia roho!

    Ndugu wana JF kwanza kabisa poleni na majukumu. Shida yangu ni hii, mimi ni mwanaume, mwaka jana mwezi wa 12 nilikutana na mpenzi wangu humu jf, tukafanya mawasiliano tukafahamiana vizuri. Tukapanga siku ya kuonana, nikatoka Moshi kwenda Dar kuonana nae akanipokea vizuri sana. Alikuwa...
  7. S

    Chafya inanitesa.

    Nina umri wa miaka 35, ni zaidi ya miaka 7 sasa nasumbuliwa na ugonjwa wa kupiga chafya. Yani napiga cha mpaka nakosa amani. Naweza kupiga mara 10 mfululizo bila kupumzika, haijalishi ni ucku, mchana, vumbi wala mvua. Nateseka sana. Naomba dawa.
  8. S

    Bora ningezaliwa Somalia kuliko Tanzania

    Nimeona ni bora ningezaliwa somalia niwe hata gaidi kuliko kuishi hapa tanzania nchi ya ufisadi, dhuluma na manyanyaso ya raia wasio na hatia.
  9. S

    Hello JF

    Naomba kukaribishwa
Back
Top Bottom