Kila ninaempata ananizidi kielimu.

Sangari

Senior Member
Oct 31, 2011
172
58
Ndugu wana MMU poleni kwa majukumu. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa kutosha kuwa na familia. Shida inakuja pale ambapo kila mchumba ninaemuona ananifaa kuoa na anaendana na sera zangu ananizidi kwa elimu. Nikimpata mwenye sera kama za kwangu aniuliza nina elimu ya kiwango gani?nikimwambia elimu yangu ananiambia kaka elimu yako haiendani na yangu. Na kwa bahati mbaya wanawake wote ambao nimekutana nao wamenizidi kwa elimu. Kama mnavyojua wanawake wenye elimu huwa wanapenda wanaume waliowazidi kwa elimu angalau kidogo. Mimi nina elimu ya form4 ila nimebahatika kuwa na kazi ambayo kipato chake kinanitosha kuendesha maisha yangu na pia mimi ni mjasiriamali. Nasema inanitosha kwani imenijengea nyumba ambayo ndo naishi kwa sasa na inaniwezesha kula vizur kila cku. Naombeni ushauri, nifanyaje nimpate wangu anaendana na elimu yangu?ukizingatia umri ndo huo miaka30.
 
we unataka kukamua elimu, au unataka kukamua mbunye. Stick to your target

Kaka unanikumbusha Dodoma, aha Mbunye, huku kwetu umasaini tunaita NGOMOSI, Bukoba wanaita MANA, hayo majina ya K wadau. Kwenu inaitwaje? Kijana nenda shule.
 
Inaonekana wewe una matatizo.Mbona kuna wasichana wengi wanatafuta wanaume wa kuwaoa?Inaonekana unataka mwanamke wa show,kama ni hivyo lazima uwe na elimu,ma nake hata yule wa la saba anapenda kupata msomi.Tafuta mwanamke wa kuishi nae na kuanza famulia,hawa hawahitaji kujua zaidi elimu yako.Kama huridhiki basi rudi darasani kama muda unaona unakuruhusu.
 
Pole bro, ushaur wangu ni kwamba unapotafuta mke bora kigezo cha kwanza na cha muhimu, ni tabia na dini, vitu kama elimu, kabila, na physical appearance are minors factors, unaweza kumpata mwenye elimu ya 4m4 na bado ndoa ikawa matatzo tupu, cha muhimu dont care about education level, angalia tabia na dini, cha KUJIULIZA NI HIKI UNAMUOA KWA SABABU YA ELIMU YAKE, AU TABIA?
 
Hao uliowapata si wanawake wa kuoa, na bora wamekukataa maana wangeifanya ndoa yako iwe ngumu. Usichoke, endelea kutafuta tu, utampata ambaye atakukubali kwa hali uliyonayo. Wenye mapenzi thabiti hawaangalii sana vitu kama hivyo. Uelewa wa mtu, tabia njema, juhudi na kujitambua ni vitu muhimu sana kwenye ndoa kuliko kigezo cha elimu kubwa. Wenye elimu wangapi tunawaona wakifanya mambo ya kipuuzi? Na wengine hata maendeleo hawana? Elimu ya form four haiko kama wanavyoitafsiri wao!
 
aliowapata I think they have the same characteristics as both of them consider education as the major qualification for one to qualify to be his/her wife/husband
 
Hao uliowapata si wanawake wa kuoa, na bora wamekukataa maana wangeifanya ndoa yako iwe ngumu. Usichoke, endelea kutafuta tu, utampata ambaye atakukubali kwa hali uliyonayo. Wenye mapenzi thabiti hawaangalii sana vitu kama hivyo. Uelewa wa mtu, tabia njema, juhudi na kujitambua ni vitu muhimu sana kwenye ndoa kuliko kigezo cha elimu kubwa. Wenye elimu wangapi tunawaona wakifanya mambo ya kipuuzi? Na wengine hata maendeleo hawana? Elimu ya form four haiko kama wanavyoitafsiri wao!

aliowapata nadhan I think they have the same characteristics as both of them consider education as the major qualification for one to qualify to be his/her wife/husband, Yeye anaangalia elimu nao wanaangalia elimu pia
 
Atafutaye hachoki, akichoka ameshapata! Mwambie aendelee tu, mi siamini kabisa kuwa wadada wote wana vigezo sawa kama hao aliokwisha kutana nao.
 
HorsePower kweli umesema
Ila sidhani kama elimu ni kizuizi kitakachokufanya ushindwe kuoa
nafikiri wewe ndiye mwenye matatizo kwa kuwa unakimbilia sana kuuliza suala la elimu japo hapa umeliweka kama vile unaulizwa wewe
Na hao wote uliokutana nao nafikiri sio wife material wanataka watu wa show off
Tulia na tafuta wa kweli wa kuoa
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana MMU poleni kwa majukumu. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa kutosha kuwa na familia. Shida inakuja pale ambapo kila mchumba ninaemuona ananifaa kuoa na anaendana na sera zangu ananizidi kwa elimu. Nikimpata mwenye sera kama za kwangu aniuliza nina elimu ya kiwango gani?nikimwambia elimu yangu ananiambia kaka elimu yako haiendani na yangu. Na kwa bahati mbaya wanawake wote ambao nimekutana nao wamenizidi kwa elimu. Kama mnavyojua wanawake wenye elimu huwa wanapenda wanaume waliowazidi kwa elimu angalau kidogo. Mimi nina elimu ya form4 ila nimebahatika kuwa na kazi ambayo kipato chake kinanitosha kuendesha maisha yangu na pia mimi ni mjasiriamali. Nasema inanitosha kwani imenijengea nyumba ambayo ndo naishi kwa sasa na inaniwezesha kula vizur kila cku. Naombeni ushauri, nifanyaje nimpate wangu anaendana na elimu yangu?ukizingatia umri ndo huo miaka30.

Yani wewe unakubali kuwa kilaza had kwenye mapenzi.... Wenzio tunadunga tu
 
jamani mbona elimu sio kigezo kwenye mapenzi? mimi nimeolewa na mwanaume darasa la tano (hakumaliza hata primary school) na tunaishi, ila watoto wanasoma freshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Rudi shule, ukaongeze elimu, inaelekea unapenda mademu elite sana!!!!

Tatizo sio kupenda mademu na hata wale ambao niliwaona sio kwamba nilitembea nao, ni katika maongezi tu ndo wakanijibu hawataki mwanaume mwenye elimu ndogo.
 
Back
Top Bottom