Kukatia gari ndogo Insurance.

Sangari

Senior Member
Oct 31, 2011
172
58
Wakuu poleni na majukumu. Naombeni kujuzwa kwa mtu anaefahamu kwa sasa gharama za kukatia gari ndogo Insurance. Gari zenyewe ni kama Mark II, Suzuki vitara, swift. n.k. Namaanisha Insurance ndogo na siyo kubwa. Asanteni.
 
Mkuu, inategemea na kampuni ya bima. Lakini itakuwa kati ya sh.40,000 hadi sh.60,000. Mimi ninayo ya premio kwa sh. 40,000
 
Mkuu ni kweli kabisa nami nahisi hivyo..maana mimi nina Noah nalipia sh 50,000
 
Hii ni kwa mwezi au third party? Nijuavyo mimi ni kati ya asilimia 3 - 5 ya thamani ya gari - fully comp.
 
Back
Top Bottom