Bora ningezaliwa Somalia kuliko Tanzania

Sangari

Senior Member
Oct 31, 2011
172
58
Nimeona ni bora ningezaliwa somalia niwe hata gaidi kuliko kuishi hapa tanzania nchi ya ufisadi, dhuluma na manyanyaso ya raia wasio na hatia.
 
Akili zako zinakutosha wewe mwenyewe,amani ni kama ndoa,ndoa ni aina fulani ya Zizi (Boma) kubwa amabalo waliopo ndani wanataka kutoka na waliopo nje wanataka kuingia,amani uliyonayo ndiyo inayokufanya utake kua Somalia,Tatizo la mateso na tabu zako wewe na watanzania kwa ujuma yataisha kama wewe na Watanzania wengine mtaamua kufanya kweli kwenye sanduku la kura 2015.
 
hapo umenena m2 wangu
 
Una hakika na unachoongea? Kwani hao magaidi waliopo Somalia wanapigania nini,ambacho kinakufanya kuwa gaidi hapa Tz?
 
Nimeona ni bora ningezaliwa somalia niwe hata gaidi kuliko kuishi hapa tanzania nchi ya ufisadi, dhuluma na manyanyaso ya raia wasio na hatia.
As the Man thinketh so is he, go to Somalia na kawe gaidi, ujilipue kama mwehu anaye tegemea wake 72. I am logging off.
 
Kwani kinachokuzuia kuwa gaidi ukiwa tz ni nini? Go ahead and suit urself! Unataka kutest sumu kwa kuionja?!
 
Nimeona ni bora ningezaliwa somalia niwe hata gaidi kuliko kuishi hapa tanzania nchi ya ufisadi, dhuluma na manyanyaso ya raia wasio na hatia.

Timiza wajibu wako na pamoja na wengine mabadiliko yatakuja. Yakikushinda 'JILIPUE' uukane uTanzania!
 
Ulipost hii thread wakat gan? Ulikuwa na hal gan. Watu wengine wanadhan kuwa na aman ni ukosefu wa akili. Wenzako somalia wanaish kama panya wakisikia kishindo 2 wote wametawanyika. Maisha hayo utayaweza wewe. Heb 2lia na ujipange wewe. Kha!
 
Ukitaka kujua magamba wa kijani hapa jf toa thread yenye utata wanajiorodhesha wote. Poleniee.
 
Akili zako zinakutosha wewe mwenyewe,amani ni kama ndoa,ndoa ni aina fulani ya Zizi (Boma) kubwa amabalo waliopo ndani wanataka kutoka na waliopo nje wanataka kuingia,amani uliyonayo ndiyo inayokufanya utake kua Somalia,Tatizo la mateso na tabu zako wewe na watanzania kwa ujuma yataisha kama wewe na Watanzania wengine mtaamua kufanya kweli kwenye sanduku la kura 2015.
...tuombe Mungu iwe hivyo!!
Sanduku la Kura lioondoe utawala huu huu??? huu utawala wa wenyewe???
 
Nimeona ni bora ningezaliwa somalia niwe hata gaidi kuliko kuishi hapa tanzania nchi ya ufisadi, dhuluma na manyanyaso ya raia wasio na hatia.
Ujinga usio na kipimo, kwani Somalia hukufahamu, nenda Namanga halafu panda basi uishie Dadaab utakutana na wasomali wengi tu wanaotoka huko.Kwa upendo ulionao kwa nchi ya Somalia utaelekezwa jinsi ya kufika Magadishu!
 
Kwani tatizo liko wapi, nenda Kenya then dumbukia Somalia hakuna atakayekuuliza viza wala passport
 
unashindwa nini kuomba uraia wa somalia? tena wanataka sana watu kama ninyi wa kujipua, pesa utapata na kila kitu. Naona wewe una asili ya somalia jieleze tu uhamiaji watakupeleka. kumbuka kuwa matatizo hayakimbiwi bali unakabiliana nayo.wewe umezaliwa na akili timamu ikiwezekana umesomeshwa na fedha wa walipa kodi uwakomboe. wanakutegemea sana utumie elimu yako hiyo uwakomboe - kwako wewe inaonekana taifa lina hasara sana, Mungu akusamehe kwani hujui uwazalo na umuhimu wako wa kuwa mtanzania!
 
Back
Top Bottom