hawa jamaa ni wanaakili sana kwanza wanataka watuaminishe kuwa jaji yupo upande CDM hafu badae watageuza kibao kwenye hukumu CDM wakilalamika wataambiwa jaji alikuwa upande wao so they have to take care things is like game.
sina uhakika sana na uwezo wako any way ni hv hapa utamsifia filihunzombe kwasaba anamwelekeo wa kuleta maendeleo na huyo mkuu wa koa kwa unavomfahamu lakini siyo hao uliowaorodhesha na kama hzo lasilimali zilikuwepo tangu kuanza kwa CCM mbona hawakuzitumia iweje leo ushawishike kirahisi kiasi...
mheshimiwa deo hana sababu hata moja ya kuogopa ccm akiacha inchi inatafunwa kwasababu ukimfukuza ccm anakubalika CDM kwa kiasi kikubwa na ukimtisha uhai kwa alichokifanya mpaka sasa hata akifa atakufa na sifa ya uzalendo kwa inchi yake na kama unamtishia ubunge wanaichi hawachagui chama...
ishu siyo kaz ya mungu ni mbaya aaa tunachosemea ni kuwa maadili yetu hayatutaki tufanye hivo na siyo kila sehemu ya mwanamke inahtaji kuonekana ovyoovyo kama mbwa.
Habari wana jf kwa moyo moja napenda kuungana na waungwana wote wenye mapenzi mema na maadili ya inchi yetu kuwapongeza wana CBE Kwa msimamo wao wa mavazi waliotoa ifahamike ukiitwa msomi siyo tu kupata mshahara na kufanya kazi bali unawajibu pia wa kuwa na muonekano kama msomi siyo kama...
Habari wana jf nimeamua kuandika thread hii kutokana na manyanyaso niliyopata toka halmashauli hii kwa muda miezi kumi tangu kuajiriwa bila kuingia kwenye mfumo wa mishahara nakuwa sijalipwa mishahara kwa muda wote huo. Hivo unatakiwa kuandika barua ya kupata salary advance kila mwezi hadi...
Habarini wana JF Mimi ni mwajiriwa katika moja ya halwashauli kwenye hii halmashauli kila mtu anayeomba kupewa pesa ya kusafilishia mizigo anajibiwa kuwa labda apewe gari sasa kwakuwa naamini utawala bora ni ule utawala unaozingatia shelia na kwakuwa halmashauli nyingi watu wanalipwa naomba...
kama katiba yetu inavosema mtu mwenye umri kuanzia miaka 18 akiri timamu na mtanzania unaruhusiwa kugombea zaidi ni kuwa kanumba yeye anajina hivo huwezi kumlinganisha na baadhi ya magamba.
Isipokuwa kwa wabunge wa CDM ni makini sana na sifahamu utaratibu wanaotumia kuwapata watu makini kiasi...
Mungu tunusuru na hili janga tuondoshee wachumia tumbo na wenye mawazo mgando kwenye safu ya uongozi na watalamu.
Hiv tunaosoma kwa kodi za wanainchi huwa tunajiuliza tunawarudishia fadhira gani walipa kodi?. Kwasababu kila kunapokuwa na shida kupanda kwa gharama ya vitu mbalimbali hata kwa...
Ni wazi tukiwa vitani na makamanda wakifa kwa kasi hii unaweza kukata tamaa lakini tuwape pole sana wafiwa lakini tutiane moyo wapiganaji wote tusikate tamaa damu zinazomwagika ni ishara ya ukombozi.
Najua ni ngumu kukubali lakini ushawahi kujiuliza kuwa kunaumhimu gani wakuishi unateseka umekaa...
sina uhakika na uelewa wako ila ngoja tuzungumzie hyo thread yako:ni mwanasiasa gani ambaye anamvuto kuliko dr.wa ukweli siyo dr. Wakutunukiwa ya slaa yani mapokezi yake utakubali kuwa kweli slaa ni chaguo la watu na hiyo inaonyesha kuwa slaa hajachuja na hahitaji mbinu ya kipuuzi kama unavosema...
Nakusuport kumbuka ari iliyopo hivi sasa ya kuwachukia magamba inatokana na elimu kubwa iliyotolewa na cdm hivo hata kama katiba ikibaki lakini watu wakielimishwa vya kutosha bado uwezekano wakuliondosha hili janga la kitaifa upo mkubwa na cdm ikichukua ichi au wabunge 2015 wakiongezeka ndio...
Huwa sielewi kitu kimoja majukwaani viongozi hupiga kelele kuhusu maadili lakini wakiombwa kuchangia mashindano yanayohamasisha uvunjifu wa maadili ni wa kwanza kwa michango mfano wa mashindano ya miss Tanzania mashindano ambayo wahusika hupita kukwaani nusu uchi huku watu na akili zao...
Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei tunazoziacha au ndo byby,
2. nikweli pesa zitakazopatikana baada ya ongezeko hili ni kweli zitafanya kazi...
Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei tunazoziacha au ndo byby,
2. nikweli pesa zitakazopatikana baada ya ongezeko hili ni kweli zitafanya kazi...
Ivi mbona mh. Lowasa amealikwa sehemu mbalimbali makanisani na akathubutu kutoa mtazamo wake kuhusu tanzania nakutokea vita mbona mapadre hawakukamata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.