Kunauhalali wa mtumishi anayeajiriwa halmashauli kulipwa pesa ya kusafilishia mizigo?

Oct 22, 2011
94
10
Habarini wana JF Mimi ni mwajiriwa katika moja ya halwashauli kwenye hii halmashauli kila mtu anayeomba kupewa pesa ya kusafilishia mizigo anajibiwa kuwa labda apewe gari sasa kwakuwa naamini utawala bora ni ule utawala unaozingatia shelia na kwakuwa halmashauli nyingi watu wanalipwa naomba kuuliza wana JF Kwa wenye data na hili ni shelia gani inayo mtaka mwajiri amlipe mwajiriwa pesa ya kusafilishia mizigo.
 
kwa msaada zaidi mwombe mwajiri wako akupe waraka wa mwezi wa nne mwaka jana haki zote zimeainishwa au standing order ni haki yako kuwa nayo wameelekeza ambapo kwa sasa wanalipa 1000 times km ulizotoka (nenda tanroad wakupe barua ya uthibitisho wa umbali) times tan tatu za mizigo ukizubaa wajanja wanazikamua wanataka kukukatisha tamaa.waambie upo tayari wakupe gari uone watakavyojikanyaga waambie utaenda mbele zaidi hadi kwa waziri wa tamisemi kwa msaada wa namba za simu za waziri ukitaka nitakupa .unapomwamisha mtu lazima uwe umeandaa maslahi yote au kumwajili tulisumbuliwa hivyohivyo tulitia msimamo tukapewa ndani ya wiki moja
 
ukishakuwa mtumishi wa serikali hata binafsi sheria haibagui
soma sheria ya kazi na mahusiano kazini
na kama alivoainisha ma doudou.
una haki ya kupewa hizo fedha kama watakusafirishia mizigo sio mbaya
na pia kama ww una gari unapaswa kulipwa na hilo gari lako pia
 
Back
Top Bottom