Ni kweli tanzania tunahitaji kizazi chenye maadili?

Oct 22, 2011
94
10
Huwa sielewi kitu kimoja majukwaani viongozi hupiga kelele kuhusu maadili lakini wakiombwa kuchangia mashindano yanayohamasisha uvunjifu wa maadili ni wa kwanza kwa michango mfano wa mashindano ya miss Tanzania mashindano ambayo wahusika hupita kukwaani nusu uchi huku watu na akili zao wanashangilia kwani hawawezi kupita na nguo za heshima nawakaonekana wazuri najua mavazi siyo tabia lakini uvaaji wa mtu humfanya umtambue tabia yake pia.
 
Usicheze na siasa hatakidogo,maana kwenyekutafuta umaarufu hua hawachagui hawabagui jambo la kufanya mkuu!
 
Back
Top Bottom