Kwa anayejua namna ya kuomba exemption kwa halmashauli unapoingiza gari.

Oct 22, 2011
94
10
Mi ni mwajiriwa wa halmashauli nahitaji kuingiza gari hivo naomba kujua namna ya kupata punguzo la kodi TRA kwa watumishi wa selikari
 
Lazima ukue registerd na uwe na sababu ya kupata vat exemption hawatoi tu kama karatasi mkuu.
 
Hapana mkuu usimkatishe tamaa mwenzio, anzia kwa ofisa utumishi wako ataandika barua ya utambulisho nenda navyo TRA (CUSTOMS) kwenye ofisi ya kamishina kuna kitengo kipo pale watakupa fomu. Lakini lazima uwe na hiyo barua ya mwajiri,salaryslip pamoja na documents za kuthibitisha kuw aumenunua hilo gari i.e invoicena bill of lading.
 
Back
Top Bottom