Search results

  1. S

    Katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini amejaribu kuthubutu!

    Jana usiku, alhamisi tarehe 18,2013 ktk kipindi cha Tuambie kinachorushwa live na tbc1. Katibu mkuu Bw. Eliakimu Maswi na jopo lake walikuwa wakitoa mrejesho kwa miezi katika utekelezaji wa 'BIG RESULTS NOW' na baadaye kutoa nafasi ya kuuliza maswali kwa wananchi waliokuwa wamealikwa. Kwa kweli...
  2. S

    Msaada: Namna ya kumtoa msichana bikra

    Naombeni msaada wenu wanajamvi. Nina mchumba wangu bikra wakati wa kufanya mapenzi tunapata shida sana. Wakati wa tendo nashindwa kutengeneza njia kwa sababu mpenzi huwa analalamika sana kwa maumi8u makali! Nifanye nini ili mpenzi wangu asipate maumivu makali?
  3. S

    Namna ya kupata cheti na transcript udsm bila kupoteza muda!

    Kwa kawaida ukienda udsm kuchukua transcript unatakiwa usubirie siku kumi na nne(14) za kazi ili uweze kuipata. Hata kama una ishu ya maana na inayohitaji transcript kwa haraka itakwama! Pamoja wanasema rushwa ni adui wa haki lakini wakati mwingine inabidi utoe kitu upate kitu! Ukitoa kitu ndani...
  4. S

    HIVI MWISHO WA KUFUNGULIA MUZIKI KWA SAUTI KUBWA KATIKA MABAA(sehemx za starehe) NI SAA NGAPI?

    Nashindwa kuelewa ktk haya maeneo ya starehe kwa mfano ktk mabaa, grocery, hotel nk. kupiga muziki kwa sauti kubwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wanaozunguka maeneo hayo. Wakati wa usiku wanafungulia muziki mpaka usiku wa manane matokeo yake tunashindwa kupata usingizi! Sie tunaokaa...
  5. S

    Nini tofauti kati ya Civil Society Organization na Non-Governmental Organization?

    Naomba msaada wenu wadau sababu nashindwa kuelewa.
  6. S

    Naombeni msaada kuhusu hii philosophy ya Hayati Mwl. Nyerere

    What weaknesses were observed in the implementation of the philosophy of Education for Self Reliance.
  7. S

    Karl Marx alikuwa ana maana gani?

    Mwanafalsafa Karl Marx aliwahi kusema kuwa 'Religion is an opium of the people'. Nashindwa kuelewa alikuwa ana maana gani.
  8. S

    Hivi Tanzania hakuna watu waliosomea mipango miji?

    Kila kukicha utasikia wamachinga wanakwaruzana na serikali kutokana na kufanyia biashara maeneo ambayo hayaruhusiwi. Hii inatokeaje wakati kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo? Kama wapo wanapatikana wapi? Mipango miji wanasababisha matatizo mengi sana yanayorudisha nyuma maendeleo!
  9. S

    Msaada kuhusu opera mini

    Simu yangu ni Nokia 6303 classic nlikuwa natumia Opera mini 6.5 lakini kwa sasa imegoma, haifunguki yaani ime'collapse'. Nifanyeje niweze kuirekebisha?
  10. S

    Msaada kuhusu analogia na digital!

    Hivi kubadili mfumo kutoka 'analog' kwenda 'digital' inakuwaje? Au ndo kuongeza gharama kwa watanzania?
Back
Top Bottom