Search results

  1. Voice of Wisdom

    Eti mabadiliko ni machafuko?

    Sitaki kuzungumza kishabiki na ni vyema kujadili bila hisia za chama. Mara kadhaa tumemsikia mgombea wa chama chenye sirikali akisema kuwa tukifanya mabadiliko tutakuwa kama libya na Misri. Misri na Libya walifanya mabadiliko kwa kutumia silaha sisi tunafanya mabadiliko kwa kutumia bullet box...
  2. Voice of Wisdom

    Kwa ambao hatujaoa/kuolewa bado muhimu kusoma hapa

    Najua muda na majukumu uliyonnayo ila jitahidi kusoma hadi mwisho utaoata cha kukusaidia Usipate uvivu kusoma tafadhali Kwa wale tunaojiandaa kuoa au kuolewa karibuni Unaoa/kuolewa ili? Kabla ya kijana wa kiume kuoa au binti kuolewa lazima ndani yake ajue ya sababu ya msingi ya yeye...
  3. Voice of Wisdom

    IST 2005 cc 1300 inauzwa

    Nauza ist yangu yenye sifa zifuatazo 1. YOM: 2005 2. Ingine capacity 1300CC 3. Imported from Japan 2014 end of June(reg # CYN) 4:imetumika miezi mitano tu tz (July to date) 5: Milleage 78,500km Bei 10.5M (negotiable) Mawasiliano: Dar es Salaam 0688100825 for call and 0767100825 watsup only Y...
  4. Voice of Wisdom

    TRA watangaza nafasi za kazi

    Habari wakuu. Yumkini tangazo hili limefika humu tayari, mod utaunganisha Hadi sasa bado hawajaweka tangazo hili kwenye website yao ila gazet la guardian la leo lipo Najaribu ku-upload picha ila naona inagoma. Ngoja niendelee kujaribu wakuu Nimeshindwa ku-upload picha ya hilo tangazo mnaoweza...
  5. Voice of Wisdom

    front camera ya galaxy s ii

    za majukumu wadau. naomba msaada wenu juu ya camera ya mbele ya simu yangu. kila ninaposwitch on front camera inaniletea message "warning camera failed" nikibonyeza ok camera inaswitch off. naomba msada wenu wakuu
  6. Voice of Wisdom

    haki za mlaji "consumer's rights"

    habari za asubuhi wakuu, kama kichwa cha mada kinavyojieleza, Tanzania tumekuwa tukishuhudia ukiukwaji wa haki za mlaji katika maeneo mbalimbali. Kwa sasa kuna jumbe za simu zinawafikia watumiaji wa voda(mitandao mingine sijui)kutoka clouds tv bila kujali kwamba umejiunga na hiyo huduma au la...
  7. Voice of Wisdom

    ushauri na karipio kwa wajasiriamali

    wadau wa ujasiriamali poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu na taifa bila kusahau mafisadi. Nimechukua hatua ya kuandika uzi huu baada ya kuona jambo hili linajirudia mara kwa mara na watu pengine hawajagundua kuwa ni TATIZO. Nimekutana na post nyingi karibu kila mwezi post mpya yenye...
  8. Voice of Wisdom

    msaada wa mkataba wa kazi

    heshima yenu wanajamvi! Poleni kwa majukumu mazito ya kuijenga nchi! Kwa kifupi nilikuwa nafanya kazi na taasisi binafsi, katika muda wote wa kazi sikuwah kuona au kusaini mkataba wa aina yeyote kuhusu kazi yangu. Mwezi wa mach mwaka 2013 nilipata kazi serikalini na tarehe 18 Machi niliandika...
  9. Voice of Wisdom

    nyumba ya kupanga kigamboni

    poleni kwa majukumu ya kujenga na kubomoa taifa! Nina rafiki yangu amepangiwa kazi maeneo ya mjini/posta ya zamani dar. Yeye si mwenyeji wa hapa dar, hvyo basi ameniomba nimtafutie eneo la kuishi ambalo litakuwa karibu na lenye usafiri ambao hautamgarimu hususani katika muda. Baada ya kupata...
  10. Voice of Wisdom

    attention chitcatters: marekebisho ya sheria ya ukaguzi kabla ya chit chat ndoa

    Kwa mamlaka niliypojipa mwenyewe (naomba msiniulize lini na wapi) na kwa kulinda heshima ya ndoa zinazofungwa hapa chit chat kila siku, mimi Voice of Wisdom napendekeza marekebisho yafuatayo katika sheria ya ndoa ya jamhuri ya chit chat sehemu ya ukaguzi. Sheria ya zamani ya mwaka 2006...
  11. Voice of Wisdom

    maana ya huu msemo

    wanajamvi naomba mnijuze maana ya msemo huu "atangazaye nilimo si mwana wa liwali" nimeusikia leo prof kabudi wa udsm akiusema katika mahafali ya chuo cha usimamizi wa kodi tra-ita
  12. Voice of Wisdom

    Moved; tra wameita

    hadi kufikia sasa taarifa zilizofikia vow zinasema tra wametuma email ya kuwaita watu kwenye interview itakayofanyika tarehe 04/02/13 msimbazi centre. Taarifa nilizopata ni kwa wale walioapply preventive assistance, kwa tax officer bado sijapata ila wengine mnaweza kutujuza. Cha kushangaza ni...
  13. Voice of Wisdom

    toa tofauti

    hivi kati ya O na 0 wanasema moja ni namba na nyingine ni herufi. Mi sasa sijui ndiye kilaza, hilo swali nimepewe leo kwenye asignment yangu ya chekechea na nimekosa jibu hadi sasa, atakayenisaidia nitampa ofa ya kuhuduria mahafali yangu ya vidudu!
  14. Voice of Wisdom

    Complete research proposal writing training for post graduate students

    Dear Colleague JF Members, Greetings to all, I expecting that this good news find you well. I am writing this to you being an information that there will be a Research Methodology Training & Support to complete academic Research Proposal Writing for postgraduate students that will be...
  15. Voice of Wisdom

    Complete research proposal writing training for post graduate students

    Dear Colleague JF Members, Greetings to all, I expecting that this good news find you well. I am writing this to you being an information that there will be a Research Methodology Training & Support to complete academic Research Proposal Writing for post graduate students that will be...
  16. Voice of Wisdom

    TRA Customs automated system

    wakati nipo chuo cha kodi(institute of tax administration) nilisoma "trade facilitation" na njia mojawapo ambayo idara ya forodha walikubaliana na WTO ni kutumia "automated data system as under Kyoto convection" lengo likiwa ni kurahisisha biashara ya kimataifa. Huu mpango ni mzuri sana kwa...
  17. Voice of Wisdom

    Yombo KKKT hali si shwari

    kama nilivyoandika kwenye kichwa cha habari, nimepokea sms kwenye simu yangu ikielezea kuwa kuna watu wasiofahamika wamefika katika kanisa la yombo kkkt na kumjeruh mlinzi wa kanisa hadi kukimbizwa hospitali. Kwa maelezo ya ujumbe tukio limetokea muda huu. Kwa wale walioko yombo naomba mtupe...
  18. Voice of Wisdom

    vyumba vya kupanga vinahtajika

    over!?
  19. Voice of Wisdom

    kazi ya ushauri wa kodi

    heshima nyingi kwa wakuu wote mliopo humu jamvini, na poleni na majukumu ya kitaifa na kifamilia. Mimi ni kijana wa kitanzania ninayetarajia kuhitimu masomo yangu agosti mwaka huu kutoka taasisi ya usimamizi wa kodi "institute of tax administration" ngazi ya stashahada "diploma in customs and...
  20. Voice of Wisdom

    tofauti ya bb na nokia e 73

    poleni na majukumu wadai wa jamiiforums na wanatekohama. ningependa kujuzwa kuna tofauti gani kati ya blackberry na nokia E73 nawaasilihsa
Back
Top Bottom