Yombo KKKT hali si shwari

Voice of Wisdom

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
537
240
kama nilivyoandika kwenye kichwa cha habari, nimepokea sms kwenye simu yangu ikielezea kuwa kuna watu wasiofahamika wamefika katika kanisa la yombo kkkt na kumjeruh mlinzi wa kanisa hadi kukimbizwa hospitali. Kwa maelezo ya ujumbe tukio limetokea muda huu.
Kwa wale walioko yombo naomba mtupe taarifa kama hii ni kweli
je ni watu gani hao?
Nia yao ni nini na/au kwa nini wamemjeruh mlinzi.
Nawasilisha
Tukio lilitokea saa 9 usiku, ni la kupangwa na hawa Waislamu feki, ila timing yao ilikuwa siyo walimpiga mapanga mlinzi mmoja wakidhani wameshamaliza kazi ili walichome kanisa kumbe walinzi walikuwa zaidi ya mmoja. ni jaribio lililoshindwa.

Nafanya mahojiano na mlinzi aliyejeruhiwa, ameshatoka Hospital na ameshonwa nyuzi kadhaa.
 
Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!
 
Voice of Wisdom!

Umeshindwa kupiga simu kwa aliyekupatia sms?

Rudi na news zaidi!

Hali hii si nzuri hata kidogo masikioni pangu!
Sijui tuna serikali ya namna gani hapa Nchini! Ama ndio imedhihirika ya kwmb serikali ni LEGELEGE DHAIFU fluu!
 
Doh makanisa yana lindwa na walinzi? doh! sijawahi ona mlinzi msikitini

.
Shekh Yahya keshasema hao walinzi wa kiislamu hawaonekani. Labda kwa wale waliokariri sura yasin vizuri.
.
 
Wakuu ni kwamba hii sms nimetumiwa na mpendwa na nilipotaka kupata taarifa zaidi toka kwake kaniambia naye ameipata toka kwa mpendwa mwingine akimsisitiza aombe kwa ajili ya hyo hali, na nikaona kupata habari za uhakika ni bora niifikishe humu jamvini kwanza kabla sijachukua uamuzi wa kui-"foward" kwa wapendwa wengine ili hata wakiniuliza maswali kama haya mnayoniuliza wakuu niwe na cha kuwajibu.

Naamini humu jamvini kuna watu wanaotoka yombo na viunga vyake au wanaweza wakawa wamepata taarifa kwa undani zaidi kuliko tetesi nilizo nazo, naomba wenye taarifa za ukweli kuhusu tetesi hii watueleze.
Mbarikiwe wapendwa.
 
.
Shekh yahya keshasema hao walinzi wa kiislamu hawaonekani. Labda kwa wale waliokariri sura yasin vizuri.
.

ambaye alisema atakaye mpinga kikwete atakufa au mwingine?...hizi reference zingine jamani....!
 
Wanataka kuiba kitimoto, Hilo kanisa ni maarufu kwa ufugaji wa kitimoto. Nilimkuta mchungaji mmoja hapo akifanya mazoezi ya ku-send mapepo kwa hao swine!
 
nimepiga simu mbili tatu kwa sababu ndo kanisa nalosali naona sio hapo ila naambiwa ni kanisa la assemblies lililopo karibu na petrol station ya njia panda ndo kuna vurugu imetokea nazidi fatilia nitakufahamisheni
 
Kama ni kweli inasikitisha sana!!!
Mungu gani huyo wa kufanya uharibifu.....?? nawashukuru wazazi wangu kwa kunipeleka shule vinginevyo na mimi ningeshapewa buku kama ujira wa kuchoma makanisa
 
Back
Top Bottom