vyumba vya kupanga vinahtajika

hizo nyumba ninazo na mimi ni dalali , kama wenye nyumba wakishindwa kuwasiliana na wewe basi nitafute . hiyo bei yako huwezi pata kijitonyama halafu miezi 6. labda mwananyamala. kuna nyumba hapa mk kinondoni iko barabarani ni chumba sebule jiko nk iko ndani ya fence , bei 200,000 na nyingine ipo studio ni standard chumba master na sitting room . jiko luku yake parking mnashirikiana na mpangani mwenzio . bei 350,000

- ziko nyumba za bei unazotaka wewe chumba sebure n.k hizi bei 150,000 ziko homboz kituo cha kanisa . ukizihitaji nyumba hz na zingine nyingi nitafute 0657 145555 Akiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom