Search results

  1. Ghost boss

    Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  2. Ghost boss

    Binadamu alijipatia hekima ya uovu alipokula tunda

    BINADAMU ALIPOTEZA KILA KITU ALIPO ASI Binadamu alipoamua kuasi, alipoteza uwezo wote wa asili alio kuwanao, binadamu alikuwa mtawala wa kweli katika USO wa dunia, lakini alipoteza uweza wake kwa kuasi, ule Mti wa ujuzi wa mema na mabaya (kama unavyotajwa ujuzi) haukuwa mti wa kujipatia hekima...
  3. Ghost boss

    Mara yangu ya kwanza kukutana na malaika(1987)

    Umetokewa na nn tena MTU wetu ww hata ukushtuka aliposema Mungu na shetani wakiungana uleta amani sasa uyo jini kashasema Mungu na shetani awajaungana kimawazo huoni kuwa ilo lijamaa n lishetani maana linaongea pumba nyingi eti mawazo ya Mungu na shetani yakiungana ... Ww jamaa shtuka...
  4. Ghost boss

    SoC01 Kwanini misaada na mikopo haiwasaidii Waafrika ila inawafanya wawe masikini zaidi?

    Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na mtego Wa masharti kandamizi, hapa panaitaji umakini zaidi na ndio maana nimeandika ili angalau tuone...
  5. Ghost boss

    Hatma ya binti Monica ni ipi?

    Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado. Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu...
  6. Ghost boss

    Mjue Mungu wa Freemasonry

    Freemasonry nilichokiona hapa nikutoa mafundisho ya nayowapa wanachama wao faraja kuwa wapo salama kwamba mungu wakike atawaokoa ila kizaazaa watakiona wakifa, lengo kuu LA shetani nikusema uongo ili wanachamawake wasiingiwe na hofu ila kwenye mafundisho haya mtawapata malofa tu, maana uyo mungu...
  7. Ghost boss

    Israel huu sasa uzembe

    Jana nimeona kwenye BBC ugaidi unaofanywa na Palestine kurusha makombora kwa raia na kwenye nyumba za ibada, matisho kwa raia Wa kiyahudi yakuwa chungu mzima, serikali ya Israel sasa hamkwepi lawama kwenye hili. Haiwezekani nchi kama Palestine isiyo na jeshi ila vikundi vya kigaidi inatesa...
  8. Ghost boss

    Freemasons katika siasa na dini

    Msabato kwenye ubora wake mnamtaja mpinga kristo wakati ndio nyie wenyewe ao wengine mnawapakaza damu mseme wameumia kumbe ni damu zenu wenyewe...Ellen alianzisha nyie malizieni kutoa kashfa
  9. Ghost boss

    Mandela alijipatia uhuru binafsi na sio Waafrika Kusini

    Waambie wanazani nilikuwa najifurahisha nilipomkataa Mandela unajua baazi ya watanzania wanaushabiki wakifala sana umeuliza maswali hakuna aliejibu hawa bwana akili zao zina njaa sana ujifanya wajuaji kumbe malofa hakuna wakijuacho kuhusu afrika kusini
  10. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Kwasababu haiendani na false doctrine uliyokwisha mezeshwa na hutaki kusikia zaidi kalili ghost boss usisome maandiko yangu wala Ku reply
  11. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Leta hoja yako kama umeshindwa Basi..maana najua watu wajamii yako mpo wengi sana nanafahamu huwa mnaongea nini kwenye hoja zenu maana hamna point zamaana ila mnakawaida ya kuegemea kwenye dini zenu na ndio maana niliandika kwa mfumo wakuzuia watu kama wewe na kundi lako
  12. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Nimesema ukweli hata sija hukumu. Wala sijatishia ila nilichosema nikweli. Kuamini niuamuzi wako MTU binafsi nakama unadhani mtuakisema ukishika moto utaungua kama utahisi nivitisho wewe shika hapa lazima ukweli tuambiane bila haya
  13. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Usipo mjua Yesu mbingu anza kujenga yako tena mjiunge kakikundi kabisa.. Ila ukimuamini Basi mbingu yakwako..hushauriwi kuwa mwovu ila ukiwamwisho Wa uhai ukatubu na kukiri Yesu Basi umeponea chupuchupu kuingia motoni ila nje ya hapo kwny msiba waasie amini itabidi wachungaji au mapadre...
  14. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Ukifa mambo ya mwili haya kuhusu na hauwi katika mwili..shangazi na wanao ni binadamu na sio roho. Kwani watu awauliwi au awateseki kwani Mungu hayupo? roho zote ufanya sawa sawa na asili yao ya roho
  15. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Wewe ndio wale wale embu fikiria kilicho zaliwa kwa mwili ni mwili na kilicho zaliwa kwa roho ni roho.. Mungu ni hai naye ni Roho ..kwanza nikuambie kwanini Roho ya Mungu huwa herufi kubwa..nikwasababu yeye ni asiri ya roho zote..hii inamaana kuwa chanzo cha uhai wakila kiumbe ni Roho ambaye ni...
  16. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Unaruhusa kamili ya kuchangia maoni yako ila sio umuelekeze MTU Fulani na nimetoa mada hiyo kuwa eleza ukweli ulivyo kuepukka false doctrine za wapotoshaji..
  17. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    Acha kujisemea mambo ya hatari maana kufa bila kuweka mambo sawa na Mungu nimajanga hayo..tuombe wakati wakifo tufanye upatanisho kwanza maana vngnevyo huwezi kuuona USO Wa Mungu..
  18. Ghost boss

    Mtu anaishi baada ya kufa?

    MTU anaishi baada ya kufa? Mara nyingi kume kuwa na mafundisho mengi ya upotoshaji, nazaidi wengi wao wakifanya kama alivyo Fanya shetani kutumia maandiko matakatifu kumjaribu Yesu mwanawa Mungu. Tumeona na kusikia habari mbali mbali juu ya nini utokea baada ya kifo. Mara nyingi tumesikia MTU...
  19. Ghost boss

    Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

    Kuna habari inatembea sasa ikimwonesha mvuvi anayedaiwa kuvua samaki mwenye thamani ya pesa za Tanzania billion 6 na anadaiwa baada ya kumvua alimla na wanakijiji wenzie. Kwa haraka haraka hakuna anayeweza kumlaumu jamaa maana angejuaje kama thamani yake ndio hiyo. Ila swali nikuwa huyu jamaa...
Back
Top Bottom