Ghost boss
Member
- May 3, 2019
- 33
- 57
Kikawaida na imezoeleka hivyo Mandela kuonwa kama shujaa wakiafrika ila ukweli makabulu wanacheka sana, katika hili shirika la kijasusi la kikaburu boss limeonekana shirika bora kwakuweza kulinda Mali na hali kwawatu wazungu wakikabulu, wameweza kuihadaa afrika kwakuwa wao walijua kuwa haitawezekana kuitawala afrika ya kusini kibabe zaidi, hii nikutokana na mabadiliko ya kidunia hivyo ikabidi wazungu wakikabulu waje na wazo jipya linaloendana na wakati, kama mara zote rais Botha alivyokuwa akisema watu weupe ni watu bora hivyo wakaamua kuonyesha ubora wao kwa kutumia akili ya wakati wote, walifikiri na walijua shida ya waafrika sio Uhuru ni rangi hivyo wakaona kwakuwa rais ni kabulu mweupe Basi waafrika hawatakuwa na furaha hivyo chamsingi aatafutwe MTU mweusi atakaye waaminisha weusi kuwa sasa wamepata Uhuru lakini ukweli ni kuwa bado watakuwa wanatawaliwa kwa kila kitu ila ili wajione huru Basi tuwatambue na kuwashirikisha ila bado wakiwa wamekaa chini ya kutawaliwa, wakabulu waliona mbali sana na waliwaza kuwa kunao shujaa wakiafrika huyo ametiwa kifungoni kwa muda Wa miaka 27 ila kama atarubuniwa na kukubali kuwa rais mweusi na kuilinda hali ya wakaburu Basi ataachiwa huru na atakuwa rais,.hivyo wakaenda gerezani na kuzungumza kwa muda na mandela kisha wakafikiana na mwishowe Mandela akawa rais wakwanza mweusi afrika kusini kisha makabulu wakaitangazia dunia kuwa eti waafrika kusini wapo huru, wakati uchumi na kila kitu bado kinamilikiwa na wazungu adi muda huu na mbaya zaidi watu weusi wanaambiwa kuwa uchumi wao unachukuliwa na wageni weusi wauza pipi na biscuit barabarani na mwisho watu weusi kuwaua weusi wenzao, Julius malema anamsemo kuwa ilo rungu ambalo MTU Wa afrika kusini anatumia kumpiga MTU mweusi mwenzake Basi akabadilisha uelekeo na kumpiga MTU mzungu Basiasubuhih ataamka ardhi ikiwa mikononi mwake na ataitawala nchi yake, lakini bado wazungu wamekuwa wajanja sana wanajua hata kama maisha ya weusi yakiwa magumu wao watampigia kelele rais wao mweusi na kuua wageni na kuwasahau wao, kwailo wazungu walicheza poa sana na Mandela Mungu anajua tu alichowafanyia ndugu zake waafrika na waafrika kusini