Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,706
- 4,747
Mnyazi Mungu anaowachukia ghalfa vifo manake hawapendi?Ila JPM kama dk chache kabla ya kufa alifanya huduma ya maombi , mwamba sku ya mwisho kuna hatari akasepa mbinguni 😀😀...mana calculation za Mungu za ajabu sana , kukufutia issue zako za nyuma ni swala la robo sekunde tuu...! Nafas za wachache Sana hzo , za kujua it is almost home tyme duuh... Wengine tutakufa ghafla kabla hata hatujawekana Sawa na Mungu wetu ...
Na je wasioenda church au hawajui habari hizi za Jesus nafasi yao ikoje kwa hili?
Kama kila mtu angekua akiumwa anajua atattubu kwa ivo afanye maovu tu duniani?