Search results

  1. M

    For Critical Thinkers Only: Nini tatizo la Waraka wa Mabadiliko 2013?

    Nilikuwa sijasoma Waraka wa Mkakati wa mabadiliko. Sasa nimeusoma. Nina maswali mengi. Huu waraka ulikuwa unatokawapi na unakwenda wapi? Kwa nini watu watatu wanaopanga mipango ya siri, waandikiane waraka? Walishindwa kuutunza mpango wao kwenye akili zao na na kuhakikisha ufahamiki? Waraka...
  2. M

    For Critical Thinkers Only: Nini tatizo la Waraka wa Mabadiliko 2013?

    Nilikuwa sijasoma Waraka wa Mkakati wa mabadiliko. Sasa nimeusoma. Nina maswali mengi. Huu waraka ulikuwa unatokawapi na unakwenda wapi? Kwa nini watu watatu wanaopanga mipango ya siri, waandikiane waraka? Walishindwa kuutunza mpango wao kwenye akili zao na kuhakikisha haufahamiki kwa wengine...
  3. M

    Kiongozi wa Juu BAVICHA amhujumu Dr Slaa

    CCM, watatumia kila aina ya mbinu ili kuhakikisha wanaivuruga CHADEMA. Muhimu ni Chadema kukaa macho kwa kila mbinu. Hata hivyo mbinu hizi za Kadi, zimepitwa na wakai. Wakati wa Chama kimoja watanzania wote na hasa wasomi walikuwa na kadi za CCM, ili kusoma na kupata nafasi za kazi. Baada ya...
  4. M

    Elections 2010 Bunge letu!

    Leo Bajeti ya Ofisi ya Rais, imepita! Hata hivyo ilikuwa wazi kwamba ingepita. Ni kupoteza fedha za walipakodi kujadili "Ndiyo". Mnyika,Lisu na wengine wamejitahidi kuondoa Shilingi, kwa hoja nzito ambazo ni za kulisaidia Taifa letu, lakini Wabunge wa CCM ni wengi na kazi yao ni kuimba "Ndiyo"...
  5. M

    Huduma muhimu

    CCM, inajigamba kwamba ni chama kikongwe na kwamba itabaki madarakani milele. Sina tatizo na chama hicho kubaki madarakani milele, maana hata Banda, Bokkasa na Iddi Amin, walijitangaza kubaki madarakani milele. Hivyo hilo mimi sina tatizo nalo. Tatizo langu ni CCM pamoja na majigambo yote...
  6. M

    Ni wangapi wanasoma?

    Ni kweli kwamba Jamii forums, inaandika mambo mengi tena kwa uwazi.Pongezi kubwa sana. Lakini je, ni wangapi wanasoma? Ni wangapi wana uwezo wa kuingia internet? Wale wanaoingia, mbali na kubishana na kutoa hoja mbali mbali ni kiasi gani wanafikisha ujumbe kwa watanzania wengine? Kuna wakati...
  7. M

    Mheshimiwa Zitto Kabwe

    Msimsumbue Zitto! Yeye ni mtu makini zaidi ya vijana niliokutana na kuongea nao. Nina ilmani amepata msaada wa kusoma na wala si kwamba fedha hizo anazitoa mfukoni. Msimvuruge mtoto wa watu, mwachie asome kwa amani. Usiwasikilize Zitto, songa mbele na walal usirudi nyuma!
  8. M

    Blandes apata mpinzani

    Mbunge wa Karagwe, Mheshimiwa G Blandes, amepata mpinzani katika kugombea kiti cha Karagwe. Mpinzani wake ambaye ni Mweka Hazina wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Karagwe, Karim Amil. Karim Amil, ni mtoto wa Marehemu Amri Amil, ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mheshimiwa Blandes. Uchaguzi wa...
  9. M

    Rais Kikwete aagiza flyovers zijengwe Dar haraka sana

    Foleni ni kero. Tunahitaji viongozi wenye upeo. Kwa vile tatizo hili la foleni, halizungumzwi leo, maana yake ni miaka mingine 5 ya kero hii. Barabara za kupita juu alizozipendekeza Rais, wetu - zikianza leo kujengwa zitamalizika anaondoka madarakani. Tunahitaji solution ya leo na si kesho...
  10. M

    CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

    Kabla January, hajafikiria kugombea Ubunge, ana mtihani mkubwa mbele yake: Je ubunge ndo nafasi peke yake ya kuwatumikia wananchi? Jinsi ambayo ameingia kwenye system, je anafikiri siasa ni kitu bora? Siasa inajenga maisha ya baadaye? Ningekutana na January, ningepeda anifahamishe kwa kipindi...
  11. M

    Tamasha tgnp

    Tamasha la jinsia, lilifunguliwa jana kwenye viwanja wa TGNP. Nashangaa kimya hakuna anayetupasha juu ya TAMASHA hili. Jana nilikwenda na leo nimekwenda. Kuna mada nzuri na za kufikirisha. Bado siku zipo, hadi Ijumaa. Twendeni tujadiliane na kupanuana mawazo!
  12. M

    Uongozi Mpya wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

    Tatizo ambalo wajumbe wanalalamikia ni utendaji wa CHADEMA makao makuu. Wengine wanasema mpangilio wa mkutano umesaidiwa kwa kiasi kikubwa na Lwakatare. Ingawa bwana huyu ni mpya ndani ya Chadema, lakini leo ameonyesha kutoa huduma katika kuwakaribisha wageni na kusimamia chakula. Ila bahati...
  13. M

    Uongozi Mpya wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

    Acha uongo na kupotosha ukweli. Nilikuwa ukumbini pia, nimeongea na Zitto,Mbowe na Mzee Mtei. Mambo ni mazuri. Kuna demokrasia ndani ya CHADEMA,na wajumbe wanajiandaa kupiga kura kesho. Tatizo lililojitokeza ni la chakula. Watu wamekuwa wengi. Wengine kama mimi tumetoka nje na kutafuta chakula...
  14. M

    CHADEMA na TEKNOLOJIA

    Chadema imefunika! Mimi nilikuwepo wakati wanazindua Teknolojia ya kuingia chamani kwa njia ya mtandao. CCM, watakesha. Kutumia fedha kuna kikomo. Na mbinu nyingine ziko njiani. Hata hotuba ya Mbowe, ilikuwa kiboko. Naye Lipumba, ameongezea uzito kwa hotuba yake yenye mvuto.
  15. M

    Waraka mwingine

    Waraka wa waislam, tumeyataka wenyewe na tujiandae kwa vurugu hizi. Maaskofu, hawakuangalia mbali kuona wanaanzisha vurugu kubwa. Kila dhehebu likitoa waraka na mwongozo wa namna ya kufanya uchaguzi, hatuwezi kufika! Ni wazi utakuja na waraka wa wapagani, waraka wacommunist nk. Hizi ni dalili...
  16. M

    Tanzania ya leo si ya jana!

    Yale yaliyotokea Dodoma, ya CCM kumgombeza Sitta, ni ya Tanzania ya jana. Kuna wanaojifanya vipofu na kutufanya tufikiri bado tunaishi Tanzania ya jana. Ukweli ni kwamba Tanzania ya leo si ya jana! Leo hii tuna mfumo wa vyama vingi, leo hii Bunge letu ni la vyama vingi- haiwezekani tena NEC ya...
  17. M

    Ritta Paulsen wa Bongo Star Search

    Ninawaheshimu watu wachache katika taifa letu la Tanzania, kati ya ninaowaheshimu ni Ritta paulsen . Kama wewe unafutatilia kipindi cha Bongo Star search, utakubaliana na mimi juu ya maa huyu. Kwamba amekonda, hayo kwangu ni upepo uvumao! Kila mtu anaweza kukonda na kila mtu anaweza kuuugua...
  18. M

    Wema hawajalizaliwa?

    Tuliwacheka wahenga kwa kuwauza ndugu zetu utumwani. Mpaka sasa tunajiuliza kama kweli walikuwa na akili timamu. Sisi tumekwenda zaidi! Vizazi vijavyo, vitatushangaa sana, si kama vile tunavyowashangaa wahenga, hapana - sisi hata mifupa yetu itafukuliwa na kuchomwa moto. Ujinga huu wa...
  19. M

    Kifo cha Askofu Mayalla

    Mnanishangaza! Kana kwamba mnaishi mwezini? Hakuna cha roho mtakatifu wala Papa. Uchaguzi wa maaskofu ni siasa kama siasa za kawaida. Ni kweli kwamba Askofu Mayala, alikuwa mgonjwa siku nyingi.Watu wamekuwa wakiiangalia kiti chake kwa hamu. Mbona hili ni jambo la kawaida? Hata kule Geita, yule...
  20. M

    Kifo cha Askofu Mayalla

    Askofu Mayalla, ameaga dunia. Mazishi yake ni Jumatano. Tunasikitika kumpoteza. ingawa wengine wanafurahi maana wamesubiri kiti chake kwa hamu kubwa. Tunaomba kanisa lisifanye makosa ya kumpatia Kiti hicho, Askofu Severine NiweMugizi wa jimbo katoliki la Rulenge-Ngara. Kuna sababu nyingi za...
Back
Top Bottom