Search results

  1. B

    Ushauri kwa Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mhe. Tundu Lissu, wewe ni mgombea wa urais. Sote tunatambua ya kuwa urais ni taasisi. Hivyo ni muhimu sana kwa wewe kujijenga kitaasisi ukiwa mgombea. Kwa jinsi ninavyoshuhudia katika kampeni zako wewe umekuwa ndo kila kitu yaani wewe ndo msemaji wewe ndo Katibu wa chama. Sioni haja ya wewe...
  2. B

    Issue ya katiba mpya ni sawa na struggle for independence waTZ tujiandae kwa lolote!

    Watanzania tuwe kitu kimoja katika kusupport katiba tunayoitaka.
  3. B

    undergraduate selection mbeya university of science and technology.

    http://www.mist.ac.tz/Documents/undergraduate_admission_2012_2013.pdf
  4. B

    I need a help on MATLAB 7, Personal license password.

    Hi jf i need a help in this engineering software MATLAB 7 on personal license password, for anyone who have this password plse help me out.
  5. B

    Nashindwa kumuelewa...!!!

    Hi Jf, Ni miezi mitatu imepita toka niachane na huyu X-girlfriend. Mwanzo wa kuachana alionekana kunichukia sana lakini mimi nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu. Nimekuwa nikiongea naye friendly but periodically sana kwani nimekwisha move on na namtreat kawaida tu. Cha ajabu two weeks...
  6. B

    Je, nifanye nini ili ibaki kuwa history!!!

    Niliamini alinipenda kwa dhati, but siamini kile anachoniambia sasa, "TUACHANE" ndo kauli yake ya mwisho. Chanzo cha hili ni hv mara baada ya Misimu ya sikukuu kuingia aliniomba hela ya shopping. Kiukweli nilikuwa nimepigika sana coz mi ni mwanafunzi wa chuo na by that time boom...
  7. B

    Msaada Jamani!!

    Kwa aliye download PDF ya selected applicants IFM anisaidie kujua kama kuna la LEONARD SAMWEL in information technology. Niko kijijini jamani sina access ya mtandao kabisa ila kuna jamaa leo kanipigia simu anadai kacheki jina langu kwenye gazeti.
  8. B

    Yamenikuta jamani!!

    Kuna mdada ambaye nimetokea kumpenda sana, at first hakuonekana kuniaccept akanishauri kusaka girl friend. Niliufuata ushauri wake na kweli nakabahatika kumnasa mdada mwingine. Cha ajabu huyu mdada sikumpenda ila nilimtamani tu. Nilimfahamisha yote hayo huyu mdada ambaye nilimpenda sana. Baada...
Back
Top Bottom