Nashindwa kumuelewa...!!!

Budodi12

Member
Aug 8, 2011
47
13
Hi Jf,
Ni miezi mitatu imepita toka niachane na huyu X-girlfriend. Mwanzo wa kuachana alionekana kunichukia sana lakini mimi nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu.

Nimekuwa nikiongea naye friendly but periodically sana kwani nimekwisha move on na namtreat kawaida tu.
Cha ajabu two weeks ago alinitext sms ya tafadhali niongezee hela, nikampigia kumuuliza juu ya hiyo sms akadai amekosea namba nikapotezea.
Jana nashangaa kuona 2 sms moja ya tafadhali niongezee hela nyingine ya *142# kutoka kwake.
Nilimuongezea sh500 kama salio nikampigia hakupokea, nikarudia kupiga kama mara mbili hakupokea nikaachana naye.

Leo nimempigia akapokea nikamuuliza tena kuhusu hizo sms akadai hajawahi kutuma hizo SMS na hajaona kama nilimuingizia salio. Mwisho akaniambia 'kama unahisi una hela si unitumie tu...!
Sasa jamani nashindwa kumuelewa huyu binti ila nilimpenda sana hapo kipindi cha nyuma but aliishia kuniumiza tu moyo.
This time around simuelewi-elewi...!!!
 
humuelewi nini na mwenzio anataka mpunga?
Kuna mawili unaweza kumpotezea, au umsaidie kama rafiki, mradi tu isipitilize.
 
he hee heeee huelewi nini hapo??????

kwani kumsaidia mtu mpaka awe mpenzi wako?

si mmeachana kwa wema?na unataka mbakie 'friends'????

sasa ajabi iko wapi akimuomba a friend vocha??????

wenzio anaacha mke na mahakama inaamuru atoe pesa ya kila mwezi ya matunzo ya mtoto na mke mwenyewe

we ungeweza??????
 
Unapomkumbuka au unapowasiliana naye huwa unahisi nini, je huwa unaumia au unaona poa 2. Km unaweza kudhibiti hisia zako na kumchukulia poa, basi endelea kumchukulia km rafiki na unaweza kumsaidia km rafiki, vinginevyo km anakutonesha dondo mpotezee.
Angalizo,huenda binti anatafuta njia ya kurudisha uhusiano wenu, sasa uwe makini ili usije ukajikuta umerudia uhusiano na kuumizwa tena.
 
he hee heeee huelewi nini hapo??????

kwani kumsaidia mtu mpaka awe mpenzi wako?

si mmeachana kwa wema?na unataka mbakie 'friends'????

sasa ajabi iko wapi akimuomba a friend vocha??????

wenzio anaacha mke na mahakama inaamuru atoe pesa ya kila mwezi ya matunzo ya mtoto na mke mwenyewe

we ungeweza??????

ni sawa unavyosema kwani namtreat kama friend na swala la kumuongezea vocha sio ishu sana kwangu, ila cha ajabu ni pale anapokana hakutuma hizo SMS hapo ndo nashindwa kumuelewa!
 
Kama huwa anazikana sms basi mpotezee.. Heb ngoja kidogo, hivi akishakutumia hizo sms huwa unampigia simu kumuuliza ukiwa na lengo gani hasa? Na huwa unaulizaje ulizaje mkuu?

kama hutajali naomba unijibu arifu..!
 
Kama huwa anazikana sms basi mpotezee.. Heb ngoja kidogo, hivi akishakutumia hizo sms huwa unampigia simu kumuuliza ukiwa na lengo gani hasa? Na huwa unaulizaje ulizaje mkuu?

kama hutajali naomba unijibu arifu..!

huwa naanza tu kumtaarifu kwamba nimepata SMS yako ya tafadhali niongezee hela na hapo ndo anaanza swaga za kukataa kabla hata sijamuuliza nikutumie kiasi gani.
 
She is checking if you are already occupied or still vacant. Never make any contact with her, find another chick and make sure she knows that, mademu wengine wanaujinga fulani kwamba ukimwacha huwezi kupata mwingine, mpotezee kabisa tafuta mwingine.
 
huwa naanza tu kumtaarifu kwamba nimepata SMS yako ya tafadhali niongezee hela na hapo ndo anaanza swaga za kukataa kabla hata sijamuuliza nikutumie kiasi gani.

duh, hizo swaga ni zuga tu kaka,, madam bado ni rafiki yako kama vipi mtoe toe na hivyo vihela vya vocha bana, huwezi jua labda uchumi umemkalia vibaya.. Jitahidi kumfaa wakati huu wa dhiki kwake.
 
Kama kusoma hujui basi picha hilo..liangalie...take one and action..aki2ma call me,beep! Recharge me..nawewe m2mie ivo ivo!sms ucjibu,akipga ucpokee!waoh try t,itakuhelp au kama unamchina block no yake,kama upo serious
 
A friend in need is a friend Indeed..., wewe msaidie kama unaweza na wewe siku ukipata shida omba msaada atakusaidia kama anaweza..

Unajua labda anaona aibu kuomba na wewe unamuuliza kwanini anaomba yaani unatoa msaada alafu unauliza vipi ile 500 niliyokutumia ?, lazima mtu ataona aibu especially your considering your history.

Just treat her as a friend au achana nae, the choice is yours but you might be loosing a good friend she might have been a bad girlfriend does not necessarily mean she is a bad friend
 
da we hata mwalimu wako utakua ulmpaga tabu sana kukuelewesha.. . . .
LAKN M2MIE 2MIE HZO VOCHA ALAF BAADAE UTAELEWA 2 KUWA HAYANAGA MCHUZ!
 
haya mambo ya kumiliki simu halafu vocha kwa mtu mwingine nayo yanakera sana these days
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom