Search results

  1. Bryce mziba

    Naomba kuunganishwa na Wauzaji wa refurbs au used laptops

    Wakuu, Nipo Dar es Salaam, kwa anayeuza au kujua wauzaji wa laptops used au refurbished. Nahitaji mzigo mmoja wa laptop aina ya HP kuanzia Core i3 generation ya 5 🙏🙏
  2. Bryce mziba

    Utapeli wa Biashara za online

    Kuna page nyingi sana instagram Kuna jamaa anatumia account ya @Rashid_Electronics ni jambazi tapeli
  3. Bryce mziba

    Utapeli wa Biashara za online

    Wakuu habari... Siku hizi kama tunavojua kuna biashara nyingi sana za online huku ukifanyiwa delivery either free or malipo kidogo. Japo ni rahisi kushawishika kwa ubora wa bidhaa wanazouza kulingana na uhitaji wako, kuna wauzaji wengine si waaminifu ni matapeli watakuaminisha ulipie nusu ya...
  4. Bryce mziba

    Je, naweza kwenda HGE au HGL kwa alama zifuatazo

    Hapo inategemeana na cutpoint zitakazotolewa na serikali.. usijipe stress
  5. Bryce mziba

    Msaada kuhusu Sunsky (online shopping)

    Bryce mziba, WanaJF msaada wenu
  6. Bryce mziba

    Msaada kuhusu Sunsky (online shopping)

    Samahani wakuu, Kwa anayefahamu au alishawahi kununua bidhaa kwa kutumia Sunsky naomba anisaidie kuhusu shipping yao ni ndani ya siku ngapi, na vipi unaletewa mzigo wako mpaka nyumbani au na wao mpaka ukachukue mzigo Posta? Naombeni mnisaidie
  7. Bryce mziba

    Tafadhali naomba kuelekezwa..

    Muhuri wa Rita au mahakama
  8. Bryce mziba

    HESLB yawataka waombaji zaidi ya 25,000 kurekebisha maombi yao

    Mimi pia ni mmojawapo waliopo kwenye list "BC not certified by Rita" kwa hiyo naweka Cheti kilichohakikiwa na Rita basi au mpk na muhuri mahakama uwepo? Msaada tafadhali
  9. Bryce mziba

    Tafadhali naomba kuelekezwa..

    Muhuri wa mahakama tena bro. Mana pale kwenye list wameweka "invalid" afu "BC not certified by Rita" vp kuhusu muhuri wa mahakama mkuu
  10. Bryce mziba

    Tafadhali naomba kuelekezwa..

    Heslb wametoa majina ya wanafunz ambao hawajakidhi vigezo vya kupata mkopo.. Mimi pia ni mhanga naambiwa "BC not certified by Rita" ila nilihakiki. sasa Kwenye kuthibitisha( kurekebisha makosa) naweka copy ya cheti kilichohakikiwa chenye muhuri wa rita au kile original... Msaada tafadhali
  11. Bryce mziba

    Tahadhari kwa walio multiple udom

    Huenda ila mm udsm cjaona mkuu
  12. Bryce mziba

    Tahadhari kwa walio multiple udom

    Itabaki kama ilvokua mwanzo ikihitaj kujiconfirm upya
  13. Bryce mziba

    UDOM TUMIENI USTAARABU KIDOGO

    Sahv tatzo limeisha
  14. Bryce mziba

    UDOM TUMIENI USTAARABU KIDOGO

    jarbuni Mara nying na Mimi nilkua na tatizo hilo hilo ila Ku un-confirm ni mpk uweke confirmation code
  15. Bryce mziba

    Tahadhari kwa walio multiple udom

    jarbun tu Mara nyingi mtafanikiwa wakuu
  16. Bryce mziba

    Tahadhari kwa walio multiple udom

    Namimi nilikua nmechaguliwa hapo udom nmefanikiwa kuji unconfirm cha muhimu n kuweka zile confirmation code utakua unconfirmed successful
Back
Top Bottom