Tahadhari kwa walio multiple udom

Zehoes

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
503
331
Wakuu nimependa kushare nanyi hili jambo kuhusu chuo kikuu cha Dodoma....

Kwa walio multiple udom naona ni dhahiri wamekuwa confirmed automatically hata kama uliconfirm chuo kingine wao wameshaconfirm tayari huko kwenye account zenu....

Lkn wameongeza kitu kinaitwa unconfirm kwenye dash boards....

My take hapa ukikuta MTU alishaconfirm chuo kingine tofauti na udom maana yake jina lake lipo vyuo viwili,(udom,na hicho kingine)....huu ndiyo mwanzo Wa MTU kukosa mkopo maana BODI watashindwa kuelewa MTU Huyo yuko chuo kipi...?

Hivyo basi wakuu kwa wale ambao hawahitaji kujiunga na udom ingieni mfanye unconfirmation ili kuepuka hii SHIDA ya kukosa mkopo
IMG_20180907_004229_309.jpg
Screenshot_20180907-003537.jpg
 
Great. Huu ni ujanja wa kujipatia wanafunzi wengi lakini unakosa uungwana na kuleta confusion. TCU ilisimamie hili na ku-deal na UDOM accordingly.
Mkuu imenishangaza nimeangalia account za vijana wawili ambao hawakufanya confirmation udom zinasoma hivyo
 
Hili jambo lina ukweli. nimeshuhudia mwenyewe, udom wameconfirm kwa watu wengi bila ridhaa yao.......tcu wakiambiwa wanasema haiwezekani.
 
Wakuu nimependa kushare nanyi hili jambo kuhusu chuo kikuu cha Dodoma....

Kwa walio multiple udom naona ni dhahiri wamekuwa confirmed automatically hata kama uliconfirm chuo kingine wao wameshaconfirm tayari huko kwenye account zenu....

Lkn wameongeza kitu kinaitwa unconfirm kwenye dash boards....

My take hapa ukikuta MTU alishaconfirm chuo kingine tofauti na udom maana yake jina lake lipo vyuo viwili,(udom,na hicho kingine)....huu ndiyo mwanzo Wa MTU kukosa mkopo maana BODI watashindwa kuelewa MTU Huyo chuo kipi...

Hivyo basi wakuu kwa wale ambao hawahitaji kujiunga na udom ingieni mfanye unconfirmation ili kuepuka hii SHIDA ya kukosa mkopo View attachment 859402View attachment 859403
kuna mtu nimemsaidia inagoma mkuu, inaniambia niingize code nikiweka inagomaa....udom hawajatenda haki.
 
Hawa watu ni wahuni jarbu kuwasiliana nao ili wakusaidie
 
daaah hata mie yamenikuta ayo mm nimeconfirm saut cha mwanza na kuta na udom confirmed nacho tyr nimechanganyikiw hapa ukipiga simu tcu hawapokei ukiwa email hawajib ss nimeamua nituliezangu tu hap maan msaada nimekosa
 
Namimi nilikua nmechaguliwa hapo udom nmefanikiwa kuji unconfirm cha muhimu n kuweka zile confirmation code utakua unconfirmed successful
 
Mkuu,naomba tafadhali utume screenshot ya akaunti yako ya udom baada ya kuunconfirm,nataka nione ujumbe gani wanauweka hapo,natanguliza shukurani zangu za dhati
Itabaki kama ilvokua mwanzo ikihitaj kujiconfirm upya
 
Attachments

  • Screenshot_2018-09-07-16-48-23.png
    Screenshot_2018-09-07-16-48-23.png
    21.1 KB · Views: 39
Swala hili msiwasingizie UDOM Hata udsm wanafanya hivyo wnakupa option ya ku confirm na ku unconfirm by default inakua already confirmed kwa wenye multiple selection tena hata iyo code haina haja ya kutumia , hivyo sio kosa la udom hata udsm wanafanya hivyo pia
 
Huenda ila mm udsm cjaona mkuu
 
Before confirmation status ilikua hivyi wanauliza kwamba umekua confirmed tayari kama hautaki unconfirm
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2018-09-07 at 17.43.13.jpeg
    WhatsApp Image 2018-09-07 at 17.43.13.jpeg
    28.9 KB · Views: 43
Back
Top Bottom