Msaada kuhusu Sunsky (online shopping)

Bryce mziba

Member
Jul 20, 2018
22
8
Samahani wakuu,

Kwa anayefahamu au alishawahi kununua bidhaa kwa kutumia Sunsky naomba anisaidie kuhusu shipping yao ni ndani ya siku ngapi, na vipi unaletewa mzigo wako mpaka nyumbani au na wao mpaka ukachukue mzigo Posta?

Naombeni mnisaidie
 
Back
Top Bottom